Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
- Thread starter
- #21
Bado nafasi ipo ngoja tuone baadae kama Raja atapindua mezaIngefurahisha hawa jamaa wakutane na Raja fainali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado nafasi ipo ngoja tuone baadae kama Raja atapindua mezaIngefurahisha hawa jamaa wakutane na Raja fainali
ila wana mpira mzuri. Jezi yao ya kawaida sana
Jipe moyo mkuu mwanangu😂😂Huku nilishafika mbonaa 😆 😆 😆
Hakuna sehemu mtatukosa
Hii ya lini kwani?Kamtoe kwanza Wydad ndio uje hapa
Nyie endeleeni kukariri kama mlivyokariri kwa waidadiNa wanadunda kweli kweli
Kumbe unaskia? Endelea kusikia hivyo hivyo ila kwa hii mamelodi ya msimu huu inakanda vilivyo. Simba ingekufa home and away tena mapema sana. Weka ushabiki pembeni
Nasemaje, nasemaje miss simba, hao mamelodi sundowns wasikie tu usiombe ukutane nao kwa beki ile ya onyango mtakalishwa asubui na mapema.Nyie endeleeni kukariri kama mlivyokariri kwa waidadi
Acha uongo mtani, mwanamke mzuri unakua muongo, haipendezi. Lini waliulizwa hilo swali?Hao wangekutana na Simba wangeogaaa..
Nasikia waliulizwa wanataka wakutane na timu ipi wakaprefer wydad kuliko Simba..
Hahahha labda nyie sisi walau tungetoana jashoNasemaje, nasemaje miss simba, hao mamelodi sundowns wasikie tu usiombe ukutane nao kwa beki ile ya onyango mtakalishwa asubui na mapema.
Kibwagizo tuu hicho mtani...Acha uongo mtani, mwanamke mzuri unakua muongo, haipendezi. Lini waliulizwa hilo swali?
Ety waliprifer uongo mtupuHao wangekutana na Simba wangeogaaa..
Nasikia waliulizwa wanataka wakutane na timu ipi wakaprefer wydad kuliko Simba..
Hakuna cha labda sisi, Tz hakuna timu ya kuitunishia misuli mamelodiHahahha labda nyie sisi walau tungetoana jasho
Kipa hajui hata kukisia, some time unafata mpira , anaruka ruka kama chura tuu upande mmojaHapana mkuu ule udakaji na Ile visit Tanzania huoni tumetukanishwa..? Visit Tanzania so to see more keepers like him or what..???🤓