Hawa Mamelodi wapewe tu kombe lao

Hawa Mamelodi wapewe tu kombe lao

Majezi yao yanang'aa sana
Japo boli wanalipiga aisee nimeona mechi yao ya leo jioni wanagonga gozi hatari
 
Na wanadunda kweli kweli

Kumbe unaskia? Endelea kusikia hivyo hivyo ila kwa hii mamelodi ya msimu huu inakanda vilivyo. Simba ingekufa home and away tena mapema sana. Weka ushabiki pembeni
Nyie endeleeni kukariri kama mlivyokariri kwa waidadi
 
Nyie endeleeni kukariri kama mlivyokariri kwa waidadi
Nasemaje, nasemaje miss simba, hao mamelodi sundowns wasikie tu usiombe ukutane nao kwa beki ile ya onyango mtakalishwa asubui na mapema.
 
Hao wangekutana na Simba wangeogaaa..
Nasikia waliulizwa wanataka wakutane na timu ipi wakaprefer wydad kuliko Simba..
Acha uongo mtani, mwanamke mzuri unakua muongo, haipendezi. Lini waliulizwa hilo swali?
 
Hapana mkuu ule udakaji na Ile visit Tanzania huoni tumetukanishwa..? Visit Tanzania so to see more keepers like him or what..???🤓
Kipa hajui hata kukisia, some time unafata mpira , anaruka ruka kama chura tuu upande mmoja
 
Back
Top Bottom