Hawa Marekani na Urusi si haba wana lao tusilolijua

Sisi ndio wabaya kushinda hao mara mia basi tu hatuna uwezo, Mungu anajua.
 
Nimewahi kuambiwa kuwa kwenye ofisi ya Rais wa Marekani kuna simu ya mezani ambayo anayepiga kwa hiyo line ni Rais wa Russia tu, na hivyo hivyo kwenye ofisi ya Rais wa Russia kuna simu ambayo inapigiwa na Rais wa marekani tu.

Sijui ni kweli au ni chai tu.
 
Kwenye vita ya Afghanistan, Lockheed Martin ililipwa na Pentagon $75 billions, hiyo inazidi budget ya jeshi la Urusi na ni mara mbili ya budget ya jeshi la ufaransa mwaka huu.
Ikawalipa madogo flani wawili kusupply risasi $5 billion ambapo tu walianzisha kampuni mmoja alikuwa daktari wa wanyama na wakati huo mmoja alikuwa na miaka 23 mwingine 21, mmoja now kafungwa miaka 40 baada ya baadae kubainika walikuwa wanachukua risasi china ndo wanauzia serikali.
 
Inaitwa, hotline.
 
Sio urafiki. Mrusi huwa anakuwa cornered anakosa la kufanya hivyo anajikuta ndani ya plan za watu.
 

Iliwekwa kipindi cha cold war.
 
Pentagon wana direct line na Jeshi la Urusi...
Ndo maana kwenye conflict zone Syria hujawahi sikia Wanajeshi wa Urusi au Marekani wameuana
 

Hii story kuna movie waliitengenezea inaitwa War Dogs.
Bonge la movie afu linachekesha balaa
 
Hii story kuna movie waliitengenezea inaitwa War Dogs.
Bonge la movie afu linachekesha balaa
Yes ndip ya hao vijana, wakala maisha wakanunua magari, majumba 😀😀
Black water walitoka kulipwa $205 kufundisha wanajeshi mpaka kupewa mkataba wa bilions kadhaa kufanya ulinzi.
 
Uliyotaja yana ukweli wa kiwango cha SGR. Hawa jamaa hata taarifa za kiintelijensia hu-share inapobidi ili kuepusha migongano. Mfano wakati wa mapigano kule Syria walikuwa wanapeana taarifa kuwa tunashambulia sehemu ulipo hivyo tunaomba upishe ili kutokukuathiri bwana mkubwa/mdogo.
Hata sasa kule Ukraine ukiangalia ziara za wakuu wa nchi za magharibi na US kule Kiev wakati huu wa vita utaona wale jamaa watia guu Kiev bila woga wa kudunguliwa hata kwa kisingizio cha bahati mbaya kwa kuwa tu wanahakikishiwa usalama wake.
Onyo la Marekani kuwa Russia ingeanzisha mashambulizi ndani ya mwezi mmoja na kuwataka raia wake kuhama inaonesha kuwa kuna kushirikiana na kupeana taarifa kwa nchi tajwa.
 
Hii story kuna movie waliitengenezea inaitwa War Dogs.
Bonge la movie afu linachekesha balaa
Hiyo movie imejaa vituko!

Kuna jamaa humo alifukuzwa kazi kwa kosa la kutoa definition ya IBM mbele ya bosi wake ambaye alikuwa hajui chochote.
 
Hiyo ni akili mtu wangu akiliiiii
 
Huu ni mpango maalum wa wa west kutaka kuicontroo dunia watakavyo hapa ukiangalia kwa jichi la mwewe rashia kaingizwa kwenye 18 bila kujijua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…