mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Kuna mkataba kati ya Urusi na Marekani kuwa kabla mmoja hajafanya jaribio la silaha mpya lazima amwarifu mwingine ili kuepuka taharuki. Bila hivyo mmoja anaweza akadhani ni maandalizi ya kushambuliwa na akaamua naye ajiandae kushambulia. Hii si kuomba kibali, bali ni kutoa taarifa kabla ya jaribio.Hii hoja ni nzito sana. Inahitaji ufukunyuz wa kiintelijensia wa kina.
Ila walau tunajua hawa watu ndio vinara wa wizi wa rasirimali za dunia kupitia siasa chafu!
Au tuseme wote ni majambaz wanaoheshimiana lakin hawaheshimi utu