Kuna mkataba kati ya Urusi na Marekani kuwa kabla mmoja hajafanya jaribio la silaha mpya lazima amwarifu mwingine ili kuepuka taharuki. Bila hivyo mmoja anaweza akadhani ni maandalizi ya kushambuliwa na akaamua naye ajiandae kushambulia. Hii si kuomba kibali, bali ni kutoa taarifa kabla ya jaribio.