Hawa mashabiki wanaotamani Simba msimu ujao isicheze klabu bingwa icheze tena shirikisho ni kama vile nawaelewa!

Makavuli

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2024
Posts
1,953
Reaction score
2,536
Ni ukweli usiopingika kwamba viwango vya timu nyingi zinazocheza shirikisho ni dhaifu ndio maana zinachukuliwa zilizoshika nafasi za 3 na 4 kwa maana ni zile zisizojiweza!

Lakini mashabiki Hawa naona wanayo hoja kwasababu huku kwenye shirikisho ni rahisi kutoboa kulingana na ubovu wa timu nyingi zilizoko uko sasa njia ya kucheza uko ni ngumu kwa timu yenye malengo unatakiwa uteme ubingwa kisha ushike nafasi ya tatu au ya nne!

Kule unaweza kukaza na ukabeba ndoo tofauti na klabu bingwa kule ni kugumu akuna mzaha kama unayo timu ya ungaunga mwana unachomolewa mapema sana!

Lakini pia mashabiki Hawa wamenishangaza kitu kingine sijawaelewa maana kama unacho kikosi Bora kwanini ubague michuano? Kwanini uiogope klabu bingwa na upende kushiriki kwenye michuano rahisi rahisi?

Na Mimi nikawatolea uvivu kwamba huku akuna kukimbia Wala akuna bodi ya ligi kusema mabaunsa wamewazuia kucheza klabu bingwa!

Nikawaambia kipimo chenu ni msimu ujao klabu bingwa tuwapime na yanga tuone nani atafika mbali na ndio uyo atakuwa na kikosi Bora na sio vinginevyo!
 
Tunatengeneza timu
 
Nikawaambia kipimo chenu ni msimu ujao klabu bingwa tuwapime na yanga tuone nani atafika mbali na ndio uyo atakuwa na kikosi Bora na sio vinginevyo!
Utopolo bhana...

Hiyo klabu bingwa Simba kacheza mara ngapi ?
 
Kwani hii michuano imeanza jana, Si ipo miaka yote? Huo udhaifu wa shirikisho haukuonekana miaka yote hiyo?
Chezeni mpira acheni porojo. Africa ina timu ngapi adi Simba au Yanga ndo ziwe dhaifu zikiingia shirikisho? Alaa
 
Ni ukweli usiopingika kwamba viwango vya timu nyingi zinazocheza shirikisho ni dhaifu ndio maana zinachukuliwa zilizoshika nafasi za 3 na 4 kwa maana ni zile zisizojiweza!

Lakini mashabiki Hawa naona wanayo hoja kwasababu huku kwenye shirikisho ni rahisi kutoboa kulingana na ubovu wa timu nyingi zilizoko uko sasa njia ya kucheza uko ni ngumu kwa timu yenye malengo unatakiwa uteme ubingwa kisha ushike nafasi ya tatu au ya nne!

Kule unaweza kukaza na ukabeba ndoo tofauti na klabu bingwa kule ni kugumu akuna mzaha kama unayo timu ya ungaunga mwana unachomolewa mapema sana!

Lakini pia mashabiki Hawa wamenishangaza kitu kingine sijawaelewa maana kama unacho kikosi Bora kwanini ubague michuano? Kwanini uiogope klabu bingwa na upende kushiriki kwenye michuano rahisi rahisi?

Na Mimi nikawatolea uvivu kwamba huku akuna kukimbia Wala akuna bodi ya ligi kusema mabaunsa wamewazuia kucheza klabu bingwa!

Nikawaambia kipimo chenu ni msimu ujao klabu bingwa tuwapime na yanga tuone nani atafika mbali na ndio uyo atakuwa na kikosi Bora na sio vinginevyo!
Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu pole sana
 
Kuchanganyikiwa na ukichaa lini umeona yanga na Simba wakiwa club bingwa yanga anafika mbali kuliko simba?lini umeona? toka umezaliwa ,ila utapona kichaa,team inayoshindwa kupata goli moja dhidi ya mc alger uvuke ,utavuka vipi sasa itakapo bidi ushinde dhidi ya ahly ,mamelod,pirates ,berkane,pyramids hao ukikutana nao waulize habari za mnyama,narudia utapona kichaa,mechi za namna hiyo Simba tunapenda kuzicheza hakuna kayoko wa kuwabeba beba huko .
 
Msimu ujao tutawaona kama watavuka robo fainali ya klabu bingwa na hiki kikosi chao kilichofungwa na wale Waarabu wanaoshindia mlenda, wa Al Masry.
Robo fainali ni standard ya Simba club bingwa nenda kakusanye wale watoto wa Simba under 23 ,wanajua ukishinda mechi 3 nyumbani unaenda robo fainali tumefanya hivyo miaka nenda Rudi iwe mwakani au mwaka kesho kutwa sisi sio nyinyi tunajua kuzicheza mechi za nyumbani ,mwambie mc alger kama anaweza kuvuka mbele ya Simba akihitaji point moja Kwa mkapa na Simba akihitaji tatu kuvuka atakupa majibu Simba anapiga show zipi Kwa mkapa,sisi sio nyinyi hatufanani .
 
Unadhan aliyewaita utopolo alikosea???
 
Kuchanganyikiwa na ukichaa lini umeona yanga na Simba wakiwa club bingwa yanga anafika mbali kuliko simba?lini umeona? toka umezaliwa ,ila utapona kichaa,team inayoshindwa kupata goli moja dhidi ya mc alger uvuke ,utavuka vipi sasa itakapo bidi ushinde dhidi ya ahly ,mamelod,pirates ,berkane,pyramids hao ukikutana nao waulize habari za mnyama,narudia utapona kichaa,mechi za namna hiyo Simba tunapenda kuzicheza hakuna kayoko wa kuwabeba beba huko .
Kama mnapenda kuzicheza kwanini mna hofu? Hofu yenu inatoka wapi nyie mbumbumbu? Mc alger ni Stellenbosch? Au unapuyanga tu baada ya kushiba magimbi,,Mc alger alicheza kombe lipi na Simba akacheza kombe lipi? Maneno meeengi but timu ndio iyo ya wakina mutale mnaangaika kwenye looser cup kufuzu nusu mpaka mnatamani kutembea na boxer barabarani kana kwamba ni jambo la ajabu saaanaaa, wakati wenzenu walishatangulia uko kitamboo,,klabu bingwa inakuja na mnashiriki si tutaona mkajitetee kwa vitendo na sio ngonjera!
 
Kichaka cha medali kimeshafyekwa, imebaki kwenu kufyeka chetu cha robo fainali za Klabu Bingwa... fanyeni hivyo halafu tuongee lugha moja.
Kwani yanga ajaingia robo fainali klabu bingwa au unaota wewe amka ukakojoe!
 
Back
Top Bottom