Kama mnapenda kuzicheza kwanini mna hofu? Hofu yenu inatoka wapi nyie mbumbumbu? Mc alger ni Stellenbosch? Au unapuyanga tu baada ya kushiba magimbi,,Mc alger alicheza kombe lipi na Simba akacheza kombe lipi? Maneno meeengi but timu ndio iyo ya wakina mutale mnaangaika kwenye looser cup kufuzu nusu mpaka mnatamani kutembea na boxer barabarani kana kwamba ni jambo la ajabu saaanaaa, wakati wenzenu walishatangulia uko kitamboo,,klabu bingwa inakuja na mnashiriki si tutaona mkajitetee kwa vitendo na sio ngonjera!