Kama Kuna timu za ovyo kwanini pendekezo ni kufuta shirikisho na sio klabu bingwa? Muulize Motsepe na kamati yake ya utendaji kwamba ni kwanini mnataka kufuta uku tulipokuwa na sio kule walipokuwa yanga mliona nini? Atakujibu bila shida!Hata CL kuna timu za hovyo sana yaani nyuma mwiko mkashindwa tamba kwa waarabu mnatamba huko chake chake😀
Huo ukweli wote yanaujua ila ni yale aina ya mashabiki maandazi. Yenyewe kipindi cha nyuma wakati yanashiriki shirikisho mashabiki yalikuwa yanafurahia tu kupanda ndege huku timu lao akina Gormahia wakijipigia 4G.Robo fainali ni standard ya Simba club bingwa nenda kakusanye wale watoto wa Simba under 23 ,wanajua ukishinda mechi 3 nyumbani unaenda robo fainali tumefanya hivyo miaka nenda Rudi iwe mwakani au mwaka kesho kutwa sisi sio nyinyi tunajua kuzicheza mechi za nyumbani ,mwambie mc alger kama anaweza kuvuka mbele ya Simba akihitaji point moja Kwa mkapa na Simba akihitaji tatu kuvuka atakupa majibu Simba anapiga show zipi Kwa mkapa,sisi sio nyinyi hatufanani .
Na huyo RSB tayari bingwa moroko, hawa UTO watueleze dhaifu anakuwaje bingwa nchini kwake?Simba Namba nne kwa ubora anacheza na RS Berkane namba tano kwa ubora wa CUF. Huo udhaifu ni upi
Simba akiingia makundi muhesabie kumkuta robo, nyie uto ilikuwaje kundi lile mkashindwa fika robo?Msimu ujao tutawaona kama watavuka robo fainali ya klabu bingwa na hiki kikosi chao kilichofungwa na wale Waarabu wanaoshindia mlenda, wa Al Masry.
Yanga acheni kununua mechi na kutumia ushawishi wa Viongozi waandamizi kuikandamiza Simba kimataifa hamtoboi kule hakuna aina ya marefa kama Kayoko na timu kama Pamba,FG,SBS,COASTAL U,NAMUNGO nkKama mnapenda kuzicheza kwanini mna hofu? Hofu yenu inatoka wapi nyie mbumbumbu? Mc alger ni Stellenbosch? Au unapuyanga tu baada ya kushiba magimbi,,Mc alger alicheza kombe lipi na Simba akacheza kombe lipi? Maneno meeengi but timu ndio iyo ya wakina mutale mnaangaika kwenye looser cup kufuzu nusu mpaka mnatamani kutembea na boxer barabarani kana kwamba ni jambo la ajabu saaanaaa, wakati wenzenu walishatangulia uko kitamboo,,klabu bingwa inakuja na mnashiriki si tutaona mkajitetee kwa vitendo na sio ngonjera!
Udhaifu wa kutegemea miujiza.Simba Namba nne kwa ubora anacheza na RS Berkane namba tano kwa ubora wa CUF. Huo udhaifu ni upi
Yaani Berkane anategemea miujiza?Udhaifu wa kutegemea miujiza.
Utopolo tulia mlifikiri wenzenu na wao hawatafika finally, kiko wapi?Kama Kuna timu za ovyo kwanini pendekezo ni kufuta shirikisho na sio klabu bingwa? Muulize Motsepe na kamati yake ya utendaji kwamba ni kwanini mnataka kufuta uku tulipokuwa na sio kule walipokuwa yanga mliona nini? Atakujibu bila shida!
Makolo wanategemea Miujiza.Yaani Berkane anategemea miujiza?
Wameanza kutegemea lini miujiza?Makolo wanategemea Miujiza.
Wewe hujui?Wameanza kutegemea lini miujiza?
Huo ukweli wote yanaujua ila ni yale aina ya mashabiki maandazi. Yenyewe kipindi cha nyuma wakati yanashiriki shirikisho mashabiki yalikuwa yanafurahia tu kupanda ndege huku timu lao akina Gormahia wakijipigia 4G.