Hawawezi kushuka. Subiri mzunguko wa pili 😀Ngumu kubabali, ila huu mwaka wanashuka.
😂😂😂😆😆😆
Daah huwezi amini timu namba moja kwa mashabiki wengi duniani...inapitia hali mbaya sanaaa..kumbe kila kitu kinamwisho aiseee...ile Man U ya Babu Feg itabakia kwny kumbukumbu daima...