Hawawezi kushuka. Subiri mzunguko wa pili πNgumu kubabali, ila huu mwaka wanashuka.
ππππππ
Daah huwezi amini timu namba moja kwa mashabiki wengi duniani...inapitia hali mbaya sanaaa..kumbe kila kitu kinamwisho aiseee...ile Man U ya Babu Feg itabakia kwny kumbukumbu daima...