Hawa mbwa hawana urafiki na mtu wasiyemfahamu. Ulinzi Shirikishi niliwakatalia baada ya kuwa naibiwa home then wanataka niwachangie mwisho wa mwezi

Hawa mbwa nawapenda ni very strong. Imagije dume anafika kilo 80 asili yao ni South Africa. Kwa Makaburu huko Wanaitwa Boerboel.

Hawa jamaa hawana woga kabisa. Na miaka ya nyuma walikuwa wakitumika mpaka kupambana na leopards au mbwa mwitu.

Home ninao watatu na nlipata kutoka kwa rafiki yangu Kaburu kipindi cha nyuma kidogo. Aliondoka akaniachia urithi huu. Ubaya wake jike lake halipandwi na mbegu nyingine. Linatoa kipigo kikali cha kuua madume wengine.

Mpaka alipokuja nipatia dume lake.nmeshangaa kuona mtu pia anao hawa mbwa. Sikutegemea sana hasa kwa kuwa kuna baadhi ya nchi hawa Mbwa wamepigwa marufuku kabisa kufugwa. Na nchi nyingine unafuga kwa kibali maalum.

Mimi nawapenda na naishi na Mdogo wangu ambaye tunapokezana kuwaangalia kama mimi sipo yeye anaendelea nao. Nikiwepo hivyo hivyo ili mradi wasibaki na njaa.

Chakula nina jamaa zangu wana bucha nawachukulia yale manyama nyama ambayo hayana issue wananiuzia kwa bei ya kirafiki.

Usiku nikiwafungulia hawa nalala bila shaka kabisa. Bahati nzuri kwa mafunzo yao hawali chakula cha kutupwa chini hata iweje.

View attachment 1694958
Hata mayai yao hayapatikani?
 
Ila still mbele ya vibaka wa bongo unaibiwa na mbwa wamelala tu wanamlinda kibaka.
Boss inategemea na aina ya mbwa. Ka hawa wa mtaani sawa. Ila hii mimbwa mikubwa mikubwa ni hatari na ukute yupo trained don't dare kuingia hiyo nyumba.
Hawa rotweiller, sijui bulldog, mallnois achana nao.
Hata mmiliki ukimzingua anakutia discpline.....
Kuna breed ni hatari....
 
Hii inakaaje,wanakuja vibaka wanashika k ya mbwa jike wakifika kwenye mbwa mkali wanamnusisha mbwa akili yote uamia huko vibaka wengine uzama ndani.
 
Hivi kuna raha gani ya kufuga mijibwa kama hii? To my view, faida ni 5%, Usumbufu 95%
Ulinzi ulinzi kitu gani? Nini faida ya maisha, Mali nyingi au maisha yenye kustarehesha na usingizi mtaaaamu!
"Usingizi wa mtu maskini ni mtamu sana kuliko wa mtu tajiri"
 
Hawa mbwa nawapenda ni very strong. Imagije dume anafika kilo 80 asili yao ni South Africa. Kwa Makaburu huko Wanaitwa Boerboel.

Hawa jamaa hawana woga kabisa. Na miaka ya nyuma walikuwa wakitumika mpaka kupambana na leopards au mbwa mwitu.

Home ninao watatu na nlipata kutoka kwa rafiki yangu Kaburu kipindi cha nyuma kidogo. Aliondoka akaniachia urithi huu. Ubaya wake jike lake halipandwi na mbegu nyingine. Linatoa kipigo kikali cha kuua madume wengine.

Mpaka alipokuja nipatia dume lake.nmeshangaa kuona mtu pia anao hawa mbwa. Sikutegemea sana hasa kwa kuwa kuna baadhi ya nchi hawa Mbwa wamepigwa marufuku kabisa kufugwa. Na nchi nyingine unafuga kwa kibali maalum.

Mimi nawapenda na naishi na Mdogo wangu ambaye tunapokezana kuwaangalia kama mimi sipo yeye anaendelea nao. Nikiwepo hivyo hivyo ili mradi wasibaki na njaa.

Chakula nina jamaa zangu wana bucha nawachukulia yale manyama nyama ambayo hayana issue wananiuzia kwa bei ya kirafiki.

Usiku nikiwafungulia hawa nalala bila shaka kabisa. Bahati nzuri kwa mafunzo yao hawali chakula cha kutupwa chini hata iweje.

View attachment 1694958
Endelea tu kushangilia hapa lakini kuna siku jambo moja kati ya mawili yatatokea.

Siku ambayo watakuwa wameshiba na mnaowalea mkawa hampo wataua karibu watu wote wa karibu na hasa watoto.

Siku hawakushiba wataanza na nyie walezi kuwafanya kitoweo kisha kisanga kitahamia kitaa.

Nawajua sana hao madanga wa mbwa. Kuna mshikaji wangu walimkata koromeo na baada ya hapo tuliita watu kutoka wanyama pori tukawaunguza wote. Alikuwa akiwasifia na kulala nje wakati wa joto, kumbe siku hiyo hawakushiba, walichomfanyia ni kumpeleka kwa Yehova kujibu mashtaka ya kuwashindisha njaa.

Tunaomba siku wakiku tweet uje hapa usifie utamu wa meno yao.
 
Boss inategemea na aina ya mbwa. Ka hawa wa mtaani sawa. Ila hii mimbwa mikubwa mikubwa ni hatari na ukute yupo trained don't dare kuingia hiyo nyumba.
Hawa rotweiller, sijui bulldog, mallnois achana nao.
Hata mmiliki ukimzingua anakutia discpline.....
Kuna breed ni hatari....
SI ndo hawa huwa restisha in peace wamiliki wao !
 
Kama kuna story ya kiongozi mmoja au Mzee maarufu kidogo kung'atwa na mbwa wake,najaribu kukumbuka lakini kumbukumbu haziji.Nilikuwa najiiuliza aling'atwaje na mbwa wake,kumbe situation huwa kama hii
 
Kingunge ngombale mwilu.
 
Hivi kuna raha gani ya kufuga mijibwa kama hii? To my view, faida ni 5%, Usumbufu 95%
Ulinzi ulinzi kitu gani? Nini faida ya maisha, Mali nyingi au maisha yenye kustarehesha na usingizi mtaaaamu!
"Usingizi wa mtu maskini ni mtamu sana kuliko wa mtu tajiri"
Umasikini ni kitu kibaya sana, hakuna masikini analala usingizi mtamu.
 
Hii inakaaje,wanakuja vibaka wanashika k ya mbwa jike wakifika kwenye mbwa mkali wanamnusisha mbwa akili yote uamia huko vibaka wengine uzama ndani.
Mtafute huyu jamaa alafu kajaribu hiyo mbinu yako uje utupe hapa ushuhuda!
 
napenda mbwa lakini hiyo jamii no aisee... kifo hicho wanaweza kuu mtu ndani ya dakika chache hao.
 
Back
Top Bottom