Hawa members jamvini lazima walazimishwa kuwa mashabiki wa mpira

Sinaga ushabiki wa Mpira.
Natamanigi niwe na timu ya kushabikia kama wengine lakini najikuta siwezi.

Ila mpira naangaliaga hasa mechi zile kubwakubwa.
Lakini kunikuta sijui Simba sijui Yanga.
Sijui Man U au Arsenal kwangu wafungwe au wasifungwe muhimu niangalie burudani ya mpira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…