Hawa Members Maarufu kwa Fix/Kamba/Uongo, Ubishi na Kuwa wa Kwanza ku Comment

Upole, ukarimu unyenyekevu na upendo wako wako kwa kila thread ndio vinahusika.
Kweli mkuu, huko mimi sihusiki labda kama kuna mtu amemlenga...sijawahi kulalamika na sitakaa nilalamike...Sijawahi kumuuliza mtu kuhusu hiyo ishu, wao wananiambia..."Leo umechelewa, leo wamekuwahi...Leo sikuoni pale juu" n.k huwa nawaambia JF sio yangu ni ya kila mtu kwa hiyo wasikariri..Hili nina ushahidi nalo kabisa...Hayo mambo sijui ya kushindana na mtu sijawahi na kuna wanaosema "kila thread au jukwaa zote we jamaa upo" hili jambo sio kweli kwa maana kuna majukwaa huwa siingii kabisa...lakini kuna wanaokuja kukuzushia we jamaa kila jukwaa na kila thread upo KITU AMBACHO SIO SAHIHI KWA KWELI
Ha ha ha a jamani josee
 
Usichukie jamani joo wapotezee tu
 
Hakuna mwenye ushahidi wa kukutia hatiani.
Upande wa walalamikaji walipaswa kufungua shauri la matrimonial, maana hii kujikuta umepost wa kwanza kwa baadhi ya thread Ni upendo upeo.

Joseverest nakuachia huru, endeleza upendo majukwaani.

Kesi imeisha jamani mbona hamtawanyikii!?
 
Naomba wataje

Send from my IPhone 6 using Jamii forum mobile app
 
Usichukie jamani joo wapotezee tu
sawa Rubii nimekuelewa Dada
Hakuna mwenye ushahidi wa kukutia hatiani.
Upande wa walalamikaji walipaswa kufungua shauri la matrimonial, maana hii kujikuta umepost wa kwanza kwa baadhi ya thread Ni upendo upeo.

Joseverest nakuachia huru, endeleza upendo majukwaani.

Kesi imeisha jamani mbona hamtawanyikii!?
Pamoja sana mkuu
 
kuna jamaa mmoja nampenda yeye mara zote ni wa kwanza ku comment. huyu jamaa duh yupo faster sana. namkubali yaani hata hapa si ajabu akawa wa kwanza ku comment nasikia huwa akiona mwenzie amemzidi speed anamfuata inbox kumlalamikia kuwa hiyo nafasi ya kwanza ya comment ni yake.
Joseverest kuna tuhuma huku
 
Kweli mkuu, huko mimi sihusiki labda kama kuna mtu amemlenga...sijawahi kulalamika na sitakaa nilalamike...Sijawahi kumuuliza mtu kuhusu hiyo ishu, wao wananiambia..."Leo umechelewa, leo wamekuwahi...Leo sikuoni pale juu" n.k huwa nawaambia JF sio yangu ni ya kila mtu kwa hiyo wasikariri..Hili nina ushahidi nalo kabisa...Hayo mambo sijui ya kushindana na mtu sijawahi na kuna wanaosema "kila thread au jukwaa zote we jamaa upo" hili jambo sio kweli kwa maana kuna majukwaa huwa siingii kabisa...lakini kuna wanaokuja kukuzushia we jamaa kila jukwaa na kila thread upo KITU AMBACHO SIO SAHIHI KWA KWELI
Mimi binafsi nakuamin.unajua kwanini
 
Wewe nawe hapa kwenye signature umetupiga fix.. Send from? Hii umeandika mwenyewe teh teh

"Tecno Whatever "
Tangu Jana naiona hyo tecno whatever....
Nahis system imelemewa na tecno zipo nyngi sana hadi inasahau ni tecno gani[emoji3][emoji16][emoji23]
Upole, ukarimu unyenyekevu na upendo wako wako kwa kila thread ndio vinahusika.

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom