Hawa Members Maarufu kwa Fix/Kamba/Uongo, Ubishi na Kuwa wa Kwanza ku Comment

Joseverest ni mmoja ya jamaa ambao wapo cool sana humu JF. Mi binafsi sijawah hata msoma akitumtukana mtu. Na sipendi kabisa nione mtu anamsema vibaya huyu jamaa yangu wa peace and love. Kuna watu humu JF ingebidi wazaz wao wakaulize kwa wazaz wa jose namna gan walimlea huyu kijana wao.

Na sasa natangaza kabisa atakayemsema vibaya jose ataozea segerea. Na sitanii... Msidhan mpo free to that extent. Jamaa hana makuu...ana upendo sana, hana matusi... Badala ya kuwaza namna gani mnaweza mpatia dada zenu (kama hajaoa) walio wazuri na wenye heshima ninyi mnaleta kebehi. Na wadada wa humu mumheshimu sana jose na mimi. Achaneni na wanaume wahuni wahuni wazee wa fix n.k

sasa wakuu nahusikaje hapo mimi? Lini imeshatokea nikamfuata mtu inbox kuhusiana na hiyo ishu
 
Joseverest ni mmoja ya jamaa ambao wapo cool sana humu JF. Mi binafsi sijawah hata msoma akitumtukana mtu. Na sipendi kabisa nione mtu anamsema vibaya huyu jamaa yangu wa peace and love. Kuna watu humu JF ingebidi wazaz wao wakaulize kwa wazaz wa jose namna gan walimlea huyu kijana wao.

Na sasa natangaza kabisa atakayemsema vibaya jose ataozea segerea. Na sitanii... Msidhan mpo free to that extent. Jamaa hana makuu...ana upendo sana, hana matusi... Badala ya kuwaza namna gani mnaweza mpatia dada zenu (kama hajaoa) walio wazuri na wenye heshima ninyi mnaleta kebehi. Na wadada wa humu mumheshimu sana jose na mimi. Achaneni na wanaume wahuni wahuni wazee wa fix n.k
Aisee pamoja sana Ndugu
 
Lumumba kwa fix.. "Wanadai Magufuli ameokota vichwa vya treni bahirini"
 
Wewe nawe hapa kwenye signature umetupiga fix.. Send from? Hii umeandika mwenyewe teh teh

"Tecno Whatever "
Hiyo signature yake ya kishujaa kweli. My iphone [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from My Tecno wereva.
 
Kwenye kila jumuiya watu kama hao wapo kila sehemu . Ila hii tabia hii ya multiple IDs sijui kama itaisha lini ?
 
9560f4b579f6cb65c85290545077e83d.jpg
dah hii ilkuwa hatari
 
Back
Top Bottom