Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
sasa wakuu nahusikaje hapo mimi? Lini imeshatokea nikamfuata mtu inbox kuhusiana na hiyo ishuJoseverest anakunywa chai labda
Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
Bila shaka Umemkusudia Joseverest.
Upole, ukarimu unyenyekevu na upendo wako wako kwa kila thread ndio vinahusika.sasa wakuu nahusikaje hapo mimi? Lini imeshatokea nikamfuata mtu inbox kuhusiana na hiyo ishu
sasa wakuu nahusikaje hapo mimi? Lini imeshatokea nikamfuata mtu inbox kuhusiana na hiyo ishu
Imebidi nicheke tu, kua na Id zaidi ya moja ni utumwa.
Kweli mkuu, huko mimi sihusiki labda kama kuna mtu amemlenga...sijawahi kulalamika na sitakaa nilalamike...Sijawahi kumuuliza mtu kuhusu hiyo ishu, wao wananiambia..."Leo umechelewa, leo wamekuwahi...Leo sikuoni pale juu" n.k huwa nawaambia JF sio yangu ni ya kila mtu kwa hiyo wasikariri..Hili nina ushahidi nalo kabisa...Hayo mambo sijui ya kushindana na mtu sijawahi na kuna wanaosema "kila thread au jukwaa zote we jamaa upo" hili jambo sio kweli kwa maana kuna majukwaa huwa siingii kabisa...lakini kuna wanaokuja kukuzushia we jamaa kila jukwaa na kila thread upo KITU AMBACHO SIO SAHIHI KWA KWELIUpole, ukarimu unyenyekevu na upendo wako wako kwa kila thread ndio vinahusika.
Ha ha ha a jamani josee
Punyeto zimepanda kichwaniSijui ni upweke au vipi
Kweli mkuu, huko mimi sihusiki labda kama kuna mtu amemlenga...sijawahi kulalamika na sitakaa nilalamike...Sijawahi kumuuliza mtu kuhusu hiyo ishu, wao wananiambia..."Leo umechelewa, leo wamekuwahi...Leo sikuoni pale juu" n.k huwa nawaambia JF sio yangu ni ya kila mtu kwa hiyo wasikariri..Hili nina ushahidi nalo kabisa...Hayo mambo sijui ya kushindana na mtu sijawahi na kuna wanaosema "kila thread au jukwaa zote we jamaa upo" hili jambo sio kweli kwa maana kuna majukwaa huwa siingii kabisa...lakini kuna wanaokuja kukuzushia we jamaa kila jukwaa na kila thread upo KITU AMBACHO SIO SAHIHI KWA KWELI
Hakuna mwenye ushahidi wa kukutia hatiani.Kweli mkuu, huko mimi sihusiki labda kama kuna mtu amemlenga...sijawahi kulalamika na sitakaa nilalamike...Sijawahi kumuuliza mtu kuhusu hiyo ishu, wao wananiambia..."Leo umechelewa, leo wamekuwahi...Leo sikuoni pale juu" n.k huwa nawaambia JF sio yangu ni ya kila mtu kwa hiyo wasikariri..Hili nina ushahidi nalo kabisa...Hayo mambo sijui ya kushindana na mtu sijawahi na kuna wanaosema "kila thread au jukwaa zote we jamaa upo" hili jambo sio kweli kwa maana kuna majukwaa huwa siingii kabisa...lakini kuna wanaokuja kukuzushia we jamaa kila jukwaa na kila thread upo KITU AMBACHO SIO SAHIHI KWA KWELI
sawa Rubii nimekuelewa DadaUsichukie jamani joo wapotezee tu
Pamoja sana mkuuHakuna mwenye ushahidi wa kukutia hatiani.
Upande wa walalamikaji walipaswa kufungua shauri la matrimonial, maana hii kujikuta umepost wa kwanza kwa baadhi ya thread Ni upendo upeo.
Joseverest nakuachia huru, endeleza upendo majukwaani.
Kesi imeisha jamani mbona hamtawanyikii!?
Wewe nawe hapa kwenye signature umetupiga fix.. Send from? Hii umeandika mwenyewe teh tehHaaaaa
Send from my IPhone 6 using Jamii forum mobile app
Nimeuona...Hivi huo ni ugonjwa gani aisee???..Ngachoka
Nimeuona...Hivi huo ni ugonjwa gani aisee???..Ngachoka
Joseverest kuna tuhuma hukukuna jamaa mmoja nampenda yeye mara zote ni wa kwanza ku comment. huyu jamaa duh yupo faster sana. namkubali yaani hata hapa si ajabu akawa wa kwanza ku comment nasikia huwa akiona mwenzie amemzidi speed anamfuata inbox kumlalamikia kuwa hiyo nafasi ya kwanza ya comment ni yake.
Mimi binafsi nakuamin.unajua kwaniniKweli mkuu, huko mimi sihusiki labda kama kuna mtu amemlenga...sijawahi kulalamika na sitakaa nilalamike...Sijawahi kumuuliza mtu kuhusu hiyo ishu, wao wananiambia..."Leo umechelewa, leo wamekuwahi...Leo sikuoni pale juu" n.k huwa nawaambia JF sio yangu ni ya kila mtu kwa hiyo wasikariri..Hili nina ushahidi nalo kabisa...Hayo mambo sijui ya kushindana na mtu sijawahi na kuna wanaosema "kila thread au jukwaa zote we jamaa upo" hili jambo sio kweli kwa maana kuna majukwaa huwa siingii kabisa...lakini kuna wanaokuja kukuzushia we jamaa kila jukwaa na kila thread upo KITU AMBACHO SIO SAHIHI KWA KWELI
Tangu Jana naiona hyo tecno whatever....Wewe nawe hapa kwenye signature umetupiga fix.. Send from? Hii umeandika mwenyewe teh teh
"Tecno Whatever "
Upole, ukarimu unyenyekevu na upendo wako wako kwa kila thread ndio vinahusika.