Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Ndoto hiyo kesho Simba anatoboa bila hofu mtaaibika mikiaKesho zamu ya Mikia kututia aibu,Mungu ibariki Nkana
Tukutane kesho saa12 jioni. Bwalya anatupia la kwanzaNdoto hiyo kesho Simba anatoboa bila hofu mtaaibika mikia
Mikia watachukua nafasi ya mtibwa shirikishoKesho zamu ya Mikia kututia aibu,Mungu ibariki Nkana
Aibu kubwa inakuja kesho hapo ndio tutajifunzaNaelewa unaposema kuwa Mtibwa wanatutia aibu Watanzania; ila kwangu mimi hilo ni dalili ila SIO CHANZO cha tatizo. Naona aibu zaidi kwa kuwa hatujifunzi ili kujua chanzo cha matatizo tuliyo nayo leo Watanzania ni nini?
Mungu ibariki Nkana na Bwalya wakeVyura wamesahau msimu huu wao walipigwa 7-1 na Gormahia nyumbani na ugenini. 4-0 Kenya na 3-1 nyumbani. 2-1 dhidi ya Township Rollers leo wanawacheka Mtibwa. Kweli nyani haoni kundule.
Haka ka ukanda tuna maneno mingi ila mpira ni sufuri.Zesco ya Zambia nayo imetolewa