Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Ni mapumziko hapa Chamanzi Kcca wakiwa wanaongoza kwa goli 1-0 huku mtibwa wakionyesha kiwango kibovu kabisa kuanzia benchi la ufundi hadi wachezaji ndani.
Kwa mpira huu ni ngumu sana vilabu vya Tz kutosajili wachezaji na makocha wa nje ya Tz maana wachezaji wetu wanareflect viwango halisi vya soka letu.
KILA LA HERI MTANZANIA MWENZETU HASSAN KESSY HAPO KESHO