Hawa na hili pekee ndiyo litakalo muokoa Rais wa TFF Malinzi vinginevyo imekula Kwake

Hawa na hili pekee ndiyo litakalo muokoa Rais wa TFF Malinzi vinginevyo imekula Kwake

Aliyeamini kuwa Malinzi angetoka kwa dhamana ni mpuuzee,sasa kesi ya kutakatisha hela ina dhamana?
 
Hii ina maana kuwa akitunisha msuli atakosa vyote...urais TFF na maisha huru ya uraiani.......

Habari ndiyo hiyo Mkuu. Bado tu nalia na wale Wajumbe Wanne ( 4 ) kwa kuwataka ' waachane ' na kutaka ' kumbeba ' Malinzi na Malinzi mwenyewe kupitia Wakili wake Aloyce Komba aseme tu kuwa ' amejitoa ' katika Kinyang'anyiro cha Uchaguzi Mkuu wa TFF otherwise watamponza na atajiponza.

Yangu macho!
 
Yaani jamaa ni kinganganizi. Si, akubali tu yaishe aachane na huo uenyekiti!!
 
Mosi.

Nawaomba wale ' Wajumbe ' wanne ( 4 ) wa TFF ambao kimsingi wameshajulikana kuwa na wao walikuwa wanafaidika nae hasa kwa ' mtonyo / pesa ' na ndiyo maana wameharibu kabisa ' mchakato ' wote wa Uchaguzi Mkuu kwa kuendelea ' kung'ang'ania ' Rais wa TFF Jamal Emil Malinzi ajadiliwe na ikibidi agombee kuwa muda wowote kuanzia sasa waitishe Press Conference na waseme rasmi kuwa wanakubaliana na Mwenyekiti Revocatus Kuuli na kwamba Jamal E. Malinzi safari yake iishie hapo.

Pili.

Namwomba Rais wa TFF Jamal Emil Malinzi kama anaweza tena kupitia yule Wakili wake Ndugu Aloyce Komba amwambie kuwa ameamua rasmi kuachana na TFF na kwamba hatogombea tena Urais kama ambavyo anaendelea ' kung'ang'ania ' huku akiharibi ' mchakato ' mzima kwa kuendelea kuwatumia hao ' Wajumbe ' wanne ( 4 ) kwa ' maslahi ' ambayo Wao na Malinzi wanayajua.

Kuna Watu siku ya Alhamisi baada ya akina Malinzi kupelekwa ' rumande ' niliposema kuwa Malinzi asicheze na ' System ' na kwamba akiendelea ' kubishana ' au ' kushindana ' nayo ' ataumia ' Yeye hawakuniamini wala kunielewa.

Nilienda mbele nikatahadharisha kuwa ' System ' ipo nyuma juu ya hili na inacheza ' Karata ' zake vizuri mno kiasi kwamba endapo wakiona Malinzi ' hasalimu ' amri kwa kuwa mpole na ' kujiondoa ' katika ' Kinyang'anyiro ' itakula Kwake na nikasema kuwa leo hatoweza kutoka kama ambavyo wengi wenu mlidhani na badala yake ili kuzidi ' Kumkomoa ' na kumuharibu zaidi ' Kisaikolojia ' leo tena Kesi yake inapigwa Kalenda ili kupima ' Upepo ' na kama Malinzi akizidi kujifanya ' Mjeuri / Kiburi ' basi kuna uwezekano akawa ' mkazi wa kudumu ' hapo Segerea.

Mwisho namalizia tu kwa kusema kuwa endapo ' Wakili ' wa Malinzi ataitisha Mkutano na Waandishi wa Habari na kutangaza kuwa ' Mteja ' wake Rais Jamal Emil Malinzi ameamua rasmi kuachana na Kugombea Urais TFF katika Uchaguzi Mkuu ujao wa August 12, 2017 basi ' nawahakikishieni ' kuwa siku ya Kesi yako kutajwa tena tarehe 17, July 2017 atapewa dhamana na tutakuwa nae mtaani.

Yangu ni hayo tu ila hapana chezea ' System ' kama ' ikikutafuta '.
Swala siyo system ila tu kuwa waliigeuza TFF kama duka lao, kila kinachoiingia wanaamishia kwenye matumba yao.
Wamevuna walichopanda.
Soka la Tz linashindwa kukua kisa watu walioko tFF wanakula tu ela, kueendeleza soka letu kwao sio agenda.
Agenda yao ni kupiga tu utafikiri hizo ela ni za kwao.
Uongozi wote wa TFF ulipaswa uondoke, upishe wengine.
 
Hii ina maana kuwa akitunisha msuli atakosa vyote...urais TFF na maisha huru ya uraiani.......
Tatizo la malinzi anaamini kuwa, kwa vile masuala ya soka kutokana na katiba ya FIFA... Mambo ya soka hayatakuwi kuingiliwa na serikali. Sasa jamaa akajiona kuwa yeye ni untouchable! na maovu yake yote akawa ameyaficha chini ya TFF iliyo chini ya FIFA! Hajui kuwa Serp Blatter na genge lake walichomolewa moja baada ya mwingine na FBI... Mimi nadhani ifike wakati FIFA itoe hicho kipengele cha kufugia majizi waache serikali husika zifanye uchunguzi kama Kuna ulazima!
 
kwakua naye alikuwa RAIS akadhan ana Kinga ya kutoshtakiwa vyeo vya urais havijawah kumuacha mtu salama
1.Rais wa FIFA
2.Rais wa Gabon
3.Rais wa TFF
4.Rais wa SOUTH KOREA
5.Rais wa SIMBA
6.Rais wa Tunisia
 
Tatizo la malinzi anaamini kuwa, kwa vile masuala ya soka kutokana na katiba ya FIFA... Mambo ya soka hayatakuwi kuingiliwa na serikali. Sasa jamaa akajiona kuwa yeye ni untouchable! na maovu yake yote akawa ameyaficha chini ya TFF iliyo chini ya FIFA! Hajui kuwa Serp Blatter na genge lake walichomolewa moja baada ya mwingine na FBI... Mimi nadhani ifike wakati FIFA itoe hicho kipengele cha kufugia majizi waache serikali husika zifanye uchunguzi kama Kuna ulazima!
Ni kweli Mashirikisho mengi ya soka yamejaa ubadhilifu kwa kuwa wanaona kuwa mkono wa serikali husika ya nchi ni ngumu kuwashtaki.
Alichosahau Malinzi ni kuwa TFF haifanyi shughuli zake hewani.
 
Tatizo la malinzi anaamini kuwa, kwa vile masuala ya soka kutokana na katiba ya FIFA... Mambo ya soka hayatakuwi kuingiliwa na serikali. Sasa jamaa akajiona kuwa yeye ni untouchable! na maovu yake yote akawa ameyaficha chini ya TFF iliyo chini ya FIFA! Hajui kuwa Serp Blatter na genge lake walichomolewa moja baada ya mwingine na FBI... Mimi nadhani ifike wakati FIFA itoe hicho kipengele cha kufugia majizi waache serikali husika zifanye uchunguzi kama Kuna ulazima!
Fifa wala haijazuia wabadhirifu na wezi au watakatishaji fedha wasishitakiwe na kupewa adhabu. Bali imekataza serikali zisiingilie mambo ya kiutendaji ya kiuongozi au ya kikanuni za kimchezo kuingiliwa na serikali.
 
Back
Top Bottom