Pamoja na yote yamayomkuta malinzi, ni cha mtoto, huyu bwana anasafari ndefu ya laana kubwaa sana kwa waliotenda huku kwao bukoba. Eizi hajaanza leo tangu enzi na enzi kampuni yao ya cargo star iliyowslea wakina nyange ni madili tu. Walichokosea jamali, dionizi na mukasa ni kwenda kumpiga mke wa baba yao, mama mbaga, kumdhalilisha, eti ni mchawi, kumjazia watu kijijini na kumuweka uchi wa mnyama, mke aliyekaa na kumlea baba yao kipofu for over 30 yrs, walikuja kijijini na mganga wakidai anatoka nigeria anaona kwa tv, siku hito walichoma kwa moto hela zaidi ya shs 6m walizozikuta kwenye sanduku la huyo bibi, mbele za watu, hela huzo zilikua za saccos ya wakina mama huyo bibi alikua mweka hazinavtu. Kama vile haitoshi wakambuluza yule mama na kumrudisha kijijini kwao minziro toka misenyi kwa aibu kubwa kama mchawi, yule mama hakuwa na ndugu kule wala makazi, akafa. Tangu hapo allnis notnwell kwa hawa watu, baba yao alilia sana a kuwalaani kwa kumfukuza mwanamke aliyeishi nae maisha yake yote ya upofu, akabaki anahudumiwa na vijana wakiyme wafanyakazi huku akidhalilika, akafa mikononi mwa wafanyakazi haya majitu yakiwa yanapiga dili mjini. Mamvo yanayowakuta sasa ndio hayo, golf club misenyi imeybgua na kuteketea, cargo star logistics inefilisika, dry port imenunuliwa mufilisi, dionizi mwenyewe afya tete, jamali ndio huyo hana mji, hana mke, huyo ndugu yao mykasa huku kijijini ni kama msukule. Chanzo ni kujisahau kuwa kuna mungu, naiona kesho ya malinzi jamali ikiwa giza kuu, hapo bado fifa, tbl hasajaliamsha dude, mungu atupe woga wa kuishi ili yanapotykuta tuwe na watetezi