Hawa na hili pekee ndiyo litakalo muokoa Rais wa TFF Malinzi vinginevyo imekula Kwake

Hawa na hili pekee ndiyo litakalo muokoa Rais wa TFF Malinzi vinginevyo imekula Kwake

Thanks unaposema system,unamainisha TISS?,real hii system iingilie hadi kwenye hili?,yeah kazi ipo,ila ninategemea system inayotumia tax money yangu ijikite kuona nchi yetu ni salama,nchi yangu haigeuzwi dampo ya bidhaa feki.mikataba ya ajabu,ugaidi,eneo letu la bahari haligeuzwi dampo,kunipatia viongozi wenye nia ya kweli ambao watakuwa wanajiuliza nini wataifanyia nchi yangu sio otherway round.mmm
Acha kuishi kwenye ulimwengu huo kwan system lazima wawe TISS kuna wadau au niseme washika dau wa Mpira nchini hao ndiyo wenye nguvu ya ushawishi ndani ya medali za kimchemzo nchini . na hawa ndiyo kwa kutumia ushawishi wao wamesubiri muda sahihi na wameamua kumnyoshaa malinz na team yake
 
Fair enough ,kutumia neno system katika uzi wako umeashiria hawa ni watu wenye mamlaka ya kuweza kubadili mchanganyio mzima wa kiutaratibu uliopo,na mifano umetoa kuhusu nguvu ya system hii kuwa once Mr.MALINZI akijitoa na kesi yake inaweza kufutwa,PCCB,sio system na hao mafia wengine uliowataja hawana nguvu za kusimamisha uchaguzi uliopo kisheria.na ninaamini kuwa PCCB wao wamewapeleka hawa mahakamani na ni Hakimu mwenye uwezo wa kutoa maamuzi.
Kama hujui mbinu wanazofanya wadau wa mpira usibishee sana tulia ujifunze , kila sehemu kuna wadau , ukiingia kwenye muziki wao wazee wa system huko, ukija mpira hivyo hivyo na hata kwenye biashara na n.k wapo sio lazima TISS kama unavyowaza ww
 
Pamoja na yote yamayomkuta malinzi, ni cha mtoto, huyu bwana anasafari ndefu ya laana kubwaa sana kwa waliotenda huku kwao bukoba. Eizi hajaanza leo tangu enzi na enzi kampuni yao ya cargo star iliyowslea wakina nyange ni madili tu. Walichokosea jamali, dionizi na mukasa ni kwenda kumpiga mke wa baba yao, mama mbaga, kumdhalilisha, eti ni mchawi, kumjazia watu kijijini na kumuweka uchi wa mnyama, mke aliyekaa na kumlea baba yao kipofu for over 30 yrs, walikuja kijijini na mganga wakidai anatoka nigeria anaona kwa tv, siku hito walichoma kwa moto hela zaidi ya shs 6m walizozikuta kwenye sanduku la huyo bibi, mbele za watu, hela huzo zilikua za saccos ya wakina mama huyo bibi alikua mweka hazinavtu. Kama vile haitoshi wakambuluza yule mama na kumrudisha kijijini kwao minziro toka misenyi kwa aibu kubwa kama mchawi, yule mama hakuwa na ndugu kule wala makazi, akafa. Tangu hapo allnis notnwell kwa hawa watu, baba yao alilia sana a kuwalaani kwa kumfukuza mwanamke aliyeishi nae maisha yake yote ya upofu, akabaki anahudumiwa na vijana wakiyme wafanyakazi huku akidhalilika, akafa mikononi mwa wafanyakazi haya majitu yakiwa yanapiga dili mjini. Mamvo yanayowakuta sasa ndio hayo, golf club misenyi imeybgua na kuteketea, cargo star logistics inefilisika, dry port imenunuliwa mufilisi, dionizi mwenyewe afya tete, jamali ndio huyo hana mji, hana mke, huyo ndugu yao mykasa huku kijijini ni kama msukule. Chanzo ni kujisahau kuwa kuna mungu, naiona kesho ya malinzi jamali ikiwa giza kuu, hapo bado fifa, tbl hasajaliamsha dude, mungu atupe woga wa kuishi ili yanapotykuta tuwe na watetezi
Yaani Wewe mpaka leo hujajua kuwa ' mtajwa ' hapo juu ndiyo anayeteseka sasa ' Segerea ' na kaambiwa arudi tena tarehe 17 July? In short FW ndiyo JM period.
 
Mama yangu haya sasa ' makubwa '. Kama ni hivi basi ' laana ' ya huyo Bibi na Baba yao ' inawatafuna ' vilivyo. Nimejisikia vibaya mno wakati nasoma hii ulichokiandika Mkuu hadi naona ' machozi ' yanataka kunitoka. Sikujua kuwa kumbe kuna ' Watu ' wana roho mbaya mno japo humu mitaani na machoni ukiwaona huwezi kuwadhania.

Ama kweli malipo ya ubaya ni hapa hapa duniani.
 
Mosi.

Nawaomba wale ' Wajumbe ' wanne ( 4 ) wa TFF ambao kimsingi wameshajulikana kuwa na wao walikuwa wanafaidika nae hasa kwa ' mtonyo / pesa ' na ndiyo maana wameharibu kabisa ' mchakato ' wote wa Uchaguzi Mkuu kwa kuendelea ' kung'ang'ania ' Rais wa TFF Jamal Emil Malinzi ajadiliwe na ikibidi agombee kuwa muda wowote kuanzia sasa waitishe Press Conference na waseme rasmi kuwa wanakubaliana na Mwenyekiti Revocatus Kuuli na kwamba Jamal E. Malinzi safari yake iishie hapo.

Pili.

Namwomba Rais wa TFF Jamal Emil Malinzi kama anaweza tena kupitia yule Wakili wake Ndugu Aloyce Komba amwambie kuwa ameamua rasmi kuachana na TFF na kwamba hatogombea tena Urais kama ambavyo anaendelea ' kung'ang'ania ' huku akiharibi ' mchakato ' mzima kwa kuendelea kuwatumia hao ' Wajumbe ' wanne ( 4 ) kwa ' maslahi ' ambayo Wao na Malinzi wanayajua.

Kuna Watu siku ya Alhamisi baada ya akina Malinzi kupelekwa ' rumande ' niliposema kuwa Malinzi asicheze na ' System ' na kwamba akiendelea ' kubishana ' au ' kushindana ' nayo ' ataumia ' Yeye hawakuniamini wala kunielewa.

Nilienda mbele nikatahadharisha kuwa ' System ' ipo nyuma juu ya hili na inacheza ' Karata ' zake vizuri mno kiasi kwamba endapo wakiona Malinzi ' hasalimu ' amri kwa kuwa mpole na ' kujiondoa ' katika ' Kinyang'anyiro ' itakula Kwake na nikasema kuwa leo hatoweza kutoka kama ambavyo wengi wenu mlidhani na badala yake ili kuzidi ' Kumkomoa ' na kumuharibu zaidi ' Kisaikolojia ' leo tena Kesi yake inapigwa Kalenda ili kupima ' Upepo ' na kama Malinzi akizidi kujifanya ' Mjeuri / Kiburi ' basi kuna uwezekano akawa ' mkazi wa kudumu ' hapo Segerea.

Mwisho namalizia tu kwa kusema kuwa endapo ' Wakili ' wa Malinzi ataitisha Mkutano na Waandishi wa Habari na kutangaza kuwa ' Mteja ' wake Rais Jamal Emil Malinzi ameamua rasmi kuachana na Kugombea Urais TFF katika Uchaguzi Mkuu ujao wa August 12, 2017 basi ' nawahakikishieni ' kuwa siku ya Kesi yako kutajwa tena tarehe 17, July 2017 atapewa dhamana na tutakuwa nae mtaani.

Yangu ni hayo tu ila hapana chezea ' System ' kama ' ikikutafuta '.
Kupewa dhamana lazima shitaka la money laundering lifutwe
 
Back
Top Bottom