Hii ina maana kuwa akitunisha msuli atakosa vyote...urais TFF na maisha huru ya uraiani.......
Ivi tanzania tutakaa tuwafikie wajerumani kweli??
Maana jana wamechukua kombe na kikosi cha pili!!
Swala siyo system ila tu kuwa waliigeuza TFF kama duka lao, kila kinachoiingia wanaamishia kwenye matumba yao.Mosi.
Nawaomba wale ' Wajumbe ' wanne ( 4 ) wa TFF ambao kimsingi wameshajulikana kuwa na wao walikuwa wanafaidika nae hasa kwa ' mtonyo / pesa ' na ndiyo maana wameharibu kabisa ' mchakato ' wote wa Uchaguzi Mkuu kwa kuendelea ' kung'ang'ania ' Rais wa TFF Jamal Emil Malinzi ajadiliwe na ikibidi agombee kuwa muda wowote kuanzia sasa waitishe Press Conference na waseme rasmi kuwa wanakubaliana na Mwenyekiti Revocatus Kuuli na kwamba Jamal E. Malinzi safari yake iishie hapo.
Pili.
Namwomba Rais wa TFF Jamal Emil Malinzi kama anaweza tena kupitia yule Wakili wake Ndugu Aloyce Komba amwambie kuwa ameamua rasmi kuachana na TFF na kwamba hatogombea tena Urais kama ambavyo anaendelea ' kung'ang'ania ' huku akiharibi ' mchakato ' mzima kwa kuendelea kuwatumia hao ' Wajumbe ' wanne ( 4 ) kwa ' maslahi ' ambayo Wao na Malinzi wanayajua.
Kuna Watu siku ya Alhamisi baada ya akina Malinzi kupelekwa ' rumande ' niliposema kuwa Malinzi asicheze na ' System ' na kwamba akiendelea ' kubishana ' au ' kushindana ' nayo ' ataumia ' Yeye hawakuniamini wala kunielewa.
Nilienda mbele nikatahadharisha kuwa ' System ' ipo nyuma juu ya hili na inacheza ' Karata ' zake vizuri mno kiasi kwamba endapo wakiona Malinzi ' hasalimu ' amri kwa kuwa mpole na ' kujiondoa ' katika ' Kinyang'anyiro ' itakula Kwake na nikasema kuwa leo hatoweza kutoka kama ambavyo wengi wenu mlidhani na badala yake ili kuzidi ' Kumkomoa ' na kumuharibu zaidi ' Kisaikolojia ' leo tena Kesi yake inapigwa Kalenda ili kupima ' Upepo ' na kama Malinzi akizidi kujifanya ' Mjeuri / Kiburi ' basi kuna uwezekano akawa ' mkazi wa kudumu ' hapo Segerea.
Mwisho namalizia tu kwa kusema kuwa endapo ' Wakili ' wa Malinzi ataitisha Mkutano na Waandishi wa Habari na kutangaza kuwa ' Mteja ' wake Rais Jamal Emil Malinzi ameamua rasmi kuachana na Kugombea Urais TFF katika Uchaguzi Mkuu ujao wa August 12, 2017 basi ' nawahakikishieni ' kuwa siku ya Kesi yako kutajwa tena tarehe 17, July 2017 atapewa dhamana na tutakuwa nae mtaani.
Yangu ni hayo tu ila hapana chezea ' System ' kama ' ikikutafuta '.
nasi tutawaambia vijana huko keko wanoe vikojoleo vyao wamkomoeMalinzi anataka kumwaga mboga ,kwamba anataka akiondoka TFF huku Tz iwe imefungiwa na Fifa , hivyo anafanya vurugu za makusudi
Hivi kutakatisha hela ni kama ya Ndama Mutoto ya ng'onbe!!? Mhh..Aliyeamini kuwa Malinzi angetoka kwa dhamana ni mpuuzee,sasa kesi ya kutakatisha hela ina dhamana?
Tatizo la malinzi anaamini kuwa, kwa vile masuala ya soka kutokana na katiba ya FIFA... Mambo ya soka hayatakuwi kuingiliwa na serikali. Sasa jamaa akajiona kuwa yeye ni untouchable! na maovu yake yote akawa ameyaficha chini ya TFF iliyo chini ya FIFA! Hajui kuwa Serp Blatter na genge lake walichomolewa moja baada ya mwingine na FBI... Mimi nadhani ifike wakati FIFA itoe hicho kipengele cha kufugia majizi waache serikali husika zifanye uchunguzi kama Kuna ulazima!Hii ina maana kuwa akitunisha msuli atakosa vyote...urais TFF na maisha huru ya uraiani.......
Yeah,ni aina tu za utakatishajiHivi kutakatisha hela ni kama ya Ndama Mutoto ya ng'onbe!!? Mhh..
kwakua naye alikuwa RAIS akadhan ana Kinga ya kutoshtakiwa vyeo vya urais havijawah kumuacha mtu salamaTatizo la malinzi anaamini kuwa, kwa vile masuala ya soka kutokana na katiba ya FIFA... Mambo ya soka hayatakuwi kuingiliwa na serikali. Sasa jamaa akajiona kuwa yeye ni untouchable! na maovu yake yote akawa ameyaficha chini ya TFF iliyo chini ya FIFA! Hajui kuwa Serp Blatter na genge lake walichomolewa moja baada ya mwingine na FBI... Mimi nadhani ifike wakati FIFA itoe hicho kipengele cha kufugia majizi waache serikali husika zifanye uchunguzi kama Kuna ulazima!
Ni kweli Mashirikisho mengi ya soka yamejaa ubadhilifu kwa kuwa wanaona kuwa mkono wa serikali husika ya nchi ni ngumu kuwashtaki.Tatizo la malinzi anaamini kuwa, kwa vile masuala ya soka kutokana na katiba ya FIFA... Mambo ya soka hayatakuwi kuingiliwa na serikali. Sasa jamaa akajiona kuwa yeye ni untouchable! na maovu yake yote akawa ameyaficha chini ya TFF iliyo chini ya FIFA! Hajui kuwa Serp Blatter na genge lake walichomolewa moja baada ya mwingine na FBI... Mimi nadhani ifike wakati FIFA itoe hicho kipengele cha kufugia majizi waache serikali husika zifanye uchunguzi kama Kuna ulazima!
Frank Wanjiru njoo mtetee Malinzi huku hali mbaya
Duuh kumbe...basi nilikuwa Analogia mkuuYaani Wewe mpaka leo hujajua kuwa ' mtajwa ' hapo juu ndiyo anayeteseka sasa ' Segerea ' na kaambiwa arudi tena tarehe 17 July? In short FW ndiyo JM period.
Duuh kumbe...basi nilikuwa Analogia mkuu
Akija nitag mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Frank Wanjiru njoo mtetee Malinzi huku hali mbaya
sawa mkuu usiwazeAkija nitag mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Fifa wala haijazuia wabadhirifu na wezi au watakatishaji fedha wasishitakiwe na kupewa adhabu. Bali imekataza serikali zisiingilie mambo ya kiutendaji ya kiuongozi au ya kikanuni za kimchezo kuingiliwa na serikali.Tatizo la malinzi anaamini kuwa, kwa vile masuala ya soka kutokana na katiba ya FIFA... Mambo ya soka hayatakuwi kuingiliwa na serikali. Sasa jamaa akajiona kuwa yeye ni untouchable! na maovu yake yote akawa ameyaficha chini ya TFF iliyo chini ya FIFA! Hajui kuwa Serp Blatter na genge lake walichomolewa moja baada ya mwingine na FBI... Mimi nadhani ifike wakati FIFA itoe hicho kipengele cha kufugia majizi waache serikali husika zifanye uchunguzi kama Kuna ulazima!