Hawa na wenyewe wanasema wanataka ubunge ni zaidi ya vichekesho!

Msukuma
Babu Tale
Harmonize
Baba Levo
Kishimba
Steve Nyerere.


Hivi watu Kama hawa ambao hawajasoma wanaweza kuongea nini bungeni .
Hamna watu hapo, ubunge uwekewe mchujo, si mtu tu akiwa maarufu anataka ubunge
 
1 & 2 wamekuwa wabunge wakaweza wananchi wanaweza kuwapa nafasi tena, licha ya kuwa hawana sifa concrete za kuwa MP's. 3 mpaka mwisho ni pumba na mashudu.
 
1 & 2 wamekuwa wabunge wakaweza wananchi wanaweza kuwapa nafasi tena, licha ya kuwa hawana sifa concrete za kuwa MP's. 3 mpaka mwisho ni pumba na mashudu.
Hakuna kitu hapo msukuma bado
 
Ivi hao walotajwa vs yule alomwambia mheshimiwa Raisi bado anadaiwa .... nani zaidi/
 
Msukuma
Babu Tale
Harmonize
Baba Levo
Kishimba
Steve Nyerere.


Hivi watu Kama hawa ambao hawajasoma wanaweza kuongea nini bungeni .
Kishimba yuko vyema sana. Mfuatilie vzr mkuu.

Huyo Msukuma angeweza kuwa mbunge mzuri sana shida ana inferiority complex.
Nashangaa kwa nini hakemewi,kukaripiwa na kuambiwa afute kauli zake pale bungeni. Maana anataka kuharibu vijana wetu anapojaribu kuonesha kwamba elimu haina maana. Kila siku kauli zake ni za kuonesha kwamba umbumbumbu ni bora kuliko elimu.
 
K

Pumbavu kabisa kishimba ndo alisema tuanzishe chuo cha wizi hao wote ni vilaza Sana .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…