Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 3,014
- 7,343
Ubunge wa sasa ni wa kupewa usishangae hao wote kua wabunge
Kumsifia SamiaMsukuma
Babu Tale
Harmonize
Baba Levo
Kishimba
Steve Nyerere.
Hivi watu Kama hawa ambao hawajasoma wanaweza kuongea nini bungeni .
Sababu sisi tumelalataifa linapelekwa shimoni
Lakini dereva wa mbunge lazima awe amemaliza formfour😂Ubunge sifa yake ni kujua kusoma na kuandika
Kishimba yuko vyema sana. Mfuatilie vzr mkuu.
Huyo Msukuma angeweza kuwa mbunge mzuri sana shida ana inferiority complex.
Nashangaa kwa nini hakemewi,kukaripiwa na kuambiwa afute kauli zake pale bungeni. Maana anataka kuharibu vijana wetu anapojaribu kuonesha kwamba elimu haina maana. Kila siku kauli zake ni za kuonesha kwamba
Sifa kuu ni kujua kusoma na kuandika. Wakenya wanatucheka sana.Msukuma
Babu Tale
Harmonize
Baba Levo
Kishimba
Steve Nyerere.
Hivi watu Kama hawa ambao hawajasoma wanaweza kuongea nini bungeni .
Kiongozi mpumbavu uvutia wapumbavu wenzie kutamani uongoziMsukuma
Babu Tale
Harmonize
Baba Levo
Kishimba
Steve Nyerere.
Hivi watu Kama hawa ambao hawajasoma wanaweza kuongea nini bungeni .
HakikaNami nilishaliwaza hili muda tu...anawapotosha vijana..kuna wakati ni kama Mh Spika alitaka kulishughulikia hili,lakini hakulimaliza..hebu Mh Spika kwa bunge lijalo zuia huu UPOTOSHAJI
Anakuwa anamuendesha mtunga sheria wa nchi 😂Lakini dereva wa mbunge lazima awe amemaliza formfour😂
Wewe ndo mpumbavuK
Pumbavu kabisa kishimba ndo alisema tuanzishe chuo cha wizi hao wote ni vilaza Sana .