Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 5,373
- 6,904
Kishimba ana madini na logic za kisomiIla aisee Tale ni kilaza mno, bora hata huyo msukuma kidogo
Kwenye hiyo orodha muongeze na TARIMBA1 & 2 wamekuwa wabunge wakaweza wananchi wanaweza kuwapa nafasi tena, licha ya kuwa hawana sifa concrete za kuwa MP's. 3 mpaka mwisho ni pumba na mashudu.
kishimba hajasoma lakini kajisomesha vizuri sana,sio kwa ajili ya kupata vyeti bali kuendesha biashara na zake na anatembea dunia hii kwa kufanya biashara na qna ujuzi mkubwa sana,sio rahisi mtu kumfikia japo una digriiMsukuma
Babu Tale
Harmonize
Baba Levo
Kishimba
Steve Nyerere.
Hivi watu Kama hawa ambao hawajasoma wanaweza kuongea nini bungeni .
Ety anasema HauimuhusuBabu tale anasema utekaji haumuhusu kwakuwa watu wake Morogoro kusini hakuna aliyetekwa
Nchi hii ndio maana hatuendelei Yani mtu kama Tundu Lissu hawamtaki ila Babu tale Steve Nyerere na matakataka mengine hii nchi kmme sana.
Hapo ndio ingetakiwa Sheria zibadilishwe iwe angalau bachelor degree. Sio dereva lazima form 4, na mbunge ajue kusoma na kuandika? Mambo magumu ya kudadavua mambo ya kitaaluma/ kisheria zipitiswe na darasa la 7 ?Ubunge sifa yake ni kujua kusoma na kuandika
Daah sipati picha kama konde akiingia bungeni walah naamia mtwara mimi..
Jamaaa anajua sana sana sana koh koh yao yao
Mkuu,umenitusi mimi au Kishimba?K
Pumbavu kabisa kishimba ndo alisema tuanzishe chuo cha wizi hao wote ni vilaza Sana .
Khaaa seriously kingwendu... Sasa hapa watakua wanazingua..Usimsahau Jacklin Wolpa na Kingwendu nao wanataka kuingia, sindio bunge letu, Kila kitu ndiooo!! Pesa imeingia
Nchi yetu yakishikaji Sana, kama tuna Rais kilaza, kwanini tusiwe na wabunge vilaza, mijitu ambayo haiwezi hata kusoma kitabu cha kurasa 60 vzr na kukichambua, Ila wanataka wawe bungeni kuchambua makabrasha ya kurasa 900!Msukuma
Babu Tale
Harmonize
Baba Levo
Kishimba
Steve Nyerere.
Hivi watu Kama hawa ambao hawajasoma wanaweza kuongea nini bungeni .
Harmonise kuwakatia mauno ccmNchi yetu yakishikaji Sana, kama tuna Rais kilaza, kwanini tusiwe na wabunge vilaza, mijitu ambayo haiwezi hata kusoma kitabu cha kurasa 60 vzr na kukichambua, Ila wanataka wawe bungeni kuchambua makabrasha ya kurasa 900!
Pale Kenya, bungeni wamejaa wanasheria watupu, wahandisi, wafanyaniashara nguli, sio kenge wabongo, unachukua, muuza vitumbua, bodaboda,
anapenda kujitetea "mheshimiwa mwenyekiti msitudharau sisi ambao hatujasoma"
Bongo ubunge unahitaji elimu basi..we mgeni na bongo?.Ni hela yako tu. Msukuma ni tajiri mkubwa anakosaje ubunge?Msukuma
Babu Tale
Harmonize
Baba Levo
Kishimba
Steve Nyerere.
Hivi watu Kama hawa ambao hawajasoma wanaweza kuongea nini bungeni .