mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,472
- 9,542
Wakati tukiendelea kuomboleza , madhira yaliyotukuta katika harakati za kutimiza haki yetu ya kikatiba ya maandamano ya amani. Tuendelee kuwatupia macho yetu watu ambao kamwe abadani sisi kama waTanganyika hatupaswi kuwaunga mkono katika mambo yao ya kisiasa sababu nao wamekua sehemu muhimu ya shida zetu. Kwa kifupi hii ni list of shame!!
1) Freeman Mbowe; mtu huyu amejipambanua kama kanjanja wa kisiasa, mtu aliyekitumia chama cha chadema kama mpango na sehemu ya biashara zake, huyu aling'ata na kupuliza kiasi cha kua kikwazo kwa wapenda mabadiliko ya kweli , chadema chini yake ilikua kama msindikizaji ,huku yeye masilahi yake yakiboreshwa.Na ndio maana aliposhindwa alitokomea kusikojulikana.
2) Zitto kabwe ; hakuna jina baya linalomfaa huyu ndumi la kuwili, huyu ni zaidi ya dalali wa kisiasa, kama ilivyo mwalimu wake wa siasa ndugu Mbowe, huyu nae alianzisha chama cha siasa ,sio kwa lengo la kuleta mabadiliko ya kweli , la hasha, bali lengo ilikua ni akifikishe chama katika ukubwa wa kiwango cha kuweza kuwapa hofu watawala, kisha imuwezeshe kukaa meza moja na watawala ili kujadili mgao wake ikiwa atawapa fursa ya kuendelea kutawala.;matokeo yake amegeuzwa kama chief mangungo wa msovero..wahuni wa ikulu wamemset amejaa Kisha wamemuacha kwenye mataa.
3) Hashim Rungwe; Huyu yeye hajielewi , kwa uzoba wake mwenyewe amekubali chama chake kitumike kama daraja la kuhalalisha siasa za majitaka. lakini mwisho wa Siku alitoka hadharani na kusema hata yeye anashangazwa mienendo ya wageni wapya ndani ya chama chake waliokua wakiongozwa na Jasusi la vichochoroni yericko nyerere na salum mwalimu.
4) Stephen wasira na wazee wa aina yake ; ni kweli hakuna Kijiji kisichokosa wazee, lakini hao wazee ni akina nani? Wazungu wanasema "you can never teach an old dog new tricks " .wazee wa Mfano wa wasira bado wanaishi Dunia ya 1970's, hawa ndio kundi linaloamini mtu mzima au utawala kukosolewa ni dhambi , Hawa ndio wanaoamini katika sera za miaka 50 , maisha ya ujamaa na kukubali unyonge..Hao kwa sasa hawana mchango wowote kulingana na mahitaji ya siasa ya duniani ya Leo , sababu wamekataa kubadili mitizamo Yao ..Hawa nao ni sehemu kubwa ya tatizo letu kama taifa..!!
Adiosss!!!!!