Liverpool msimu huu ni kama underdog Hana makali yoyote yale pengine abadilike mbele huko na huyo ajax huwa ni msindikizaji japo huwa anafika mbali.Liverpool na Ajax ni underdog? Haya mkuu embu zitaje timu ambazo wewe unaona ni tishio kwa msimu huu
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
NaaaaaamHuwa nawaza ni jinsi gani team kama chelsea inatoa 50m pound kumsajili sterling wakati napoli inatoa euro milioni kumi kupata saini ya kvicha kvaratskhelia . Huyu dogo kwa waliomfuatilia toka yupo Rubin Kazan kule urusi alikuwa ni moto kisha akarudi dinamo batumi , Napoli wakamchukua kwa hela ya kununulia maandazi kabisa. Sasa sasahivi kumng'oa pale napoli bila ya 100m pounds bado hujampata.
Kuna yule Lozano ni balaa tupuHapo bado Victor Osimhen hajapona dadeki!! Raspadori na Giovani simeone wanakiwasha...huyo zambonguisa na zielinski hatari...pembeni unakutana na georgian messi, Kvaradona
Acha wakishambulia wanakuja kama nyuki hujui uanze kumkaba naniKuna yule Lozano ni balaa tupu
Mashindano ya klabu bingwa ni tofauti na ligi kuu kwa hilo ulielewe. Timu inaweza ku struggle kwenye ligi yao lakini kwenye champions league ikawa timu bora kabisa na wakakiwasha vyema. Liverpool kwenye champions league kapoteza dhidi ya Napoli pekee unasemaje kuwa hana makali?Liverpool msimu huu ni kama underdog Hana makali yoyote yale pengine abadilike mbele huko na huyo ajax huwa ni msindikizaji japo huwa anafika mbali.
Wanachofanya ni kucheza mpira wa kasi na kufanya press ya hali ya juu ili kuwalazimisha wachezaji wa timu pinzani Kufanya makosa.Napoli hata kwenye ligi wapo vizuri hawajapoteza na ndio wanaongoza
Unaambiwa ndio mrithi wa lorenzo insigne[emoji91]Huwa nawaza ni jinsi gani team kama chelsea inatoa 50m pound kumsajili sterling wakati napoli inatoa euro milioni kumi kupata saini ya kvicha kvaratskhelia . Huyu dogo kwa waliomfuatilia toka yupo Rubin Kazan kule urusi alikuwa ni moto kisha akarudi dinamo batumi , Napoli wakamchukua kwa hela ya kununulia maandazi kabisa. Sasa sasahivi kumng'oa pale napoli bila ya 100m pounds bado hujampata.
Hivi uyu Giovan simeone ndio mtoto wa diego simeone?Hapo bado Victor Osimhen hajapona dadeki!! Raspadori na Giovani simeone wanakiwasha...huyo zambonguisa na zielinski hatari...pembeni unakutana na georgian messi, Kvaradona
Manchester CityLiverpool na Ajax ni underdog? Haya mkuu embu zitaje timu ambazo wewe unaona ni tishio kwa msimu huu
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Hili pia nashangaaga sana hizi timu kubwa zinatoa pesa nyingi hivi ni kwa ajili ya kujitangaza ama niniHuwa nawaza ni jinsi gani team kama chelsea inatoa 50m pound kumsajili sterling wakati napoli inatoa euro milioni kumi kupata saini ya kvicha kvaratskhelia . Huyu dogo kwa waliomfuatilia toka yupo Rubin Kazan kule urusi alikuwa ni moto kisha akarudi dinamo batumi , Napoli wakamchukua kwa hela ya kununulia maandazi kabisa. Sasa sasahivi kumng'oa pale napoli bila ya 100m pounds bado hujampata.