Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Simeone InzaghHivi uyu Giovan simeone ndio mtoto wa diego simeone?
Atalanta chini ya bwana gasperini hatari. Wapo vizuri, walikuwa wazee wa GG ila naona sasa jama karekebisha defense yake. So far best defense in seri A. Jamaa has done a very good job hapo bergamo. Ni bahati mbaya sana kwamba dunia ya sasa tuna judge makocha kwa makombe lakini huyu mwamba amejitahidi sana hapo atalanta.Kimsingi Napoli Wapo vizuri sana. Timu iko well balanced. Liverpool walitia huruma pale Italy.
.
Walipigiwa mpira kama watoto wadogo, Kifupi tu LIva walipigwa kama ngoma[emoji3][emoji28]
.
Atalanta nao boli lao zuri lakini sijui pumzi ikoje kwenda mbele.
.
Hawa vijana wa bergamo huwa ni wazuri sana Top 4 kwao huwa ni kitu cha kawaida sana misimu ya hivi karibun tofauti na last season ndio walitokewa top 4
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ni kweli. Nakubaliana na wewe bro. Good football.Atalanta chini ya bwana gasperini hatari. Wapo vizuri, walikuwa wazee wa GG ila naona sasa jama karekebisha defense yake. So far best defense in seri A. Jamaa has done a very good job hapo bergamo. Ni bahati mbaya sana kwamba dunia ya sasa tuna judge makocha kwa makombe lakini huyu mwamba amejitahidi sana hapo atalanta.
Kama timu tatu hizo ndio sio underdog ina maana champions league ya msimu huu una timu underdog zaidi ya asilimia 95.Manchester City
Real Madrid
Bayern Munich
Hili pia nashangaaga sana hizi timu kubwa zinatoa pesa nyingi hivi ni kwa ajili ya kujitangaza ama nini
Japo pesa ni zao ila pia ziendane na thamn ya mchezaji mtu kama anthony eti 100m 😳
Huwa nawaza ni jinsi gani team kama chelsea inatoa 50m pound kumsajili sterling wakati napoli inatoa euro milioni kumi kupata saini ya kvicha kvaratskhelia . Huyu dogo kwa waliomfuatilia toka yupo Rubin Kazan kule urusi alikuwa ni moto kisha akarudi dinamo batumi , Napoli wakamchukua kwa hela ya kununulia maandazi kabisa. Sasa sasahivi kumng'oa pale napoli bila ya 100m pounds bado hujampata.
Hapana ni mtoto wa diego simeone...kocha wa atletico de madrid en españaSimeone Inzagh
Hizo timu zinaonekana kama title contenders sababu ya performance yake kwenye hayo mashindano kwenye mechi walizokwisha cheza mpaka Sasa.Kama timu tatu hizo ndio sio underdog ina maana champions league ya msimu huu una timu underdog zaidi ya asilimia 95.
Hili linawezekana kabisa, unaweza hata kuchukua ubingwa na msimu mpya ukapotea kabisa.Timu imecheza fainali msimu uliopita halafu leo unakuja kusema ni underdog.
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Hana makali jana Rangers walitakiwa kupigwa ata 4+ na pia game yao na Ajax ilikua kawaida sana bila kile kichwa ilikua droo ile Liva hana makali labda akikutana na City ndo anajitutumua mpaka mwishoMashindano ya klabu bingwa ni tofauti na ligi kuu kwa hilo ulielewe. Timu inaweza ku struggle kwenye ligi yao lakini kwenye champions league ikawa timu bora kabisa na wakakiwasha vyema. Liverpool kwenye champions league kapoteza dhidi ya Napoli pekee unasemaje kuwa hana makali?
Timu kama inafika mbali hauwezi kusema ni underdog. Kama Ajax na Liverpool ni underdog basi tuhitimishe kuwa UEFA champions league ya msimu huu imejaa ma underdog zaidi ya asilimia 90. Kama hao ndio wanaingia kwenye kundi la underdog je wakina Celtic, Copenhagen, Shakhtar donetsk, Maccabi Haifa, n.k watakuwa ni akina nani?
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Ndiondio mtoto wa El Cholo kakorofi mnoo jana ilibaki kidogo kapigwe umemeHivi uyu Giovan simeone ndio mtoto wa diego simeone?
Madrid itoe hapo..hakuna ndondokela msimu huuManchester City
Real Madrid
Bayern Munich
Inter hovyoKifupi team zote za italy zinamoto sana msimu huu kuanzia kina Inter,Millan,napoli kichaa ni mmoja tu Juve ila nae ukikaa vbaya anakupasua vzuri tu
Never say neverMadrid itoe hapo..hakuna ndondokela msimu huu
Kwahiyo kwako wewe unaona Madrid ni title contender kwavile kaonesha bonge la performance kwa kuifunga timu za Celtic na Leipzig? Unatumia hisia sana kuliko fact. Kwamba Celtic na Leipzig sio underdog si ndio?Hizo timu zinaonekana kama title contenders sababu ya performance yake kwenye hayo mashindano kwenye mechi walizokwisha cheza mpaka Sasa.
Hili linawezekana kabisa, unaweza hata kuchukua ubingwa na msimu mpya ukapotea kabisa.
Imeanza kufanya vizuri baada ya coulibaly kuondoka.Kwa wale wanaofatilia Ligi ya Mabingwa Ulaya, na Ligi Kuu Italy yaani Serie A bila shaka wameshaiona ni jinsi gani Napoli wanavyoshambulia kama nyuki. Nikisema huvyo bila shaka mashabiki wa Liverpool wanaelewa kiliwakuta nini msimu huu kwa hawa jamaa.
Kama hiyo haitoshi vijana wa Ajax wakiwa nyumbani kwao wametandikwa magoli 6. Hii timu inaweza ikawa moja ya timu inayoweza kufika mbali msimu huu Champions League, hasa ukizingatia kuwa wale waliyotambulika kuwa wababe wa Ulaya wamebakia wawili tu ambao ni Bayern Munich na Real Madrid.
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app