Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Kimsingi Napoli Wapo vizuri sana. Timu iko well balanced. Liverpool walitia huruma pale Italy.
.
Walipigiwa mpira kama watoto wadogo, Kifupi tu LIva walipigwa kama ngoma[emoji3][emoji28]
.
Atalanta nao boli lao zuri lakini sijui pumzi ikoje kwenda mbele.
.
Hawa vijana wa bergamo huwa ni wazuri sana Top 4 kwao huwa ni kitu cha kawaida sana misimu ya hivi karibun tofauti na last season ndio walitokewa top 4
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app