Hawa Napoli msimu huu wana balaa zito

Hawa Napoli msimu huu wana balaa zito

Kwahiyo kwako wewe unaona Madrid ni title contender kwavile kaonesha bonge la performance kwa kuifunga timu za Celtic na Leipzig? Unatumia hisia sana kuliko fact. Kwamba Celtic na Leipzig sio underdog si ndio?

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Hukunielewa na hutaki kuelewa....

Kila mtu abaki na mtazamo wake.
 
Kifupi team zote za italy zinamoto sana msimu huu kuanzia kina Inter,Millan,napoli kichaa ni mmoja tu Juve ila nae ukikaa vbaya anakupasua vzuri tu
Timu ni moja tu hizo zingine zote ni ovyo tu. Inter,.juve na Milan hamna timu mle.

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Huwa nawaza ni jinsi gani team kama chelsea inatoa 50m pound kumsajili sterling wakati napoli inatoa euro milioni kumi kupata saini ya kvicha kvaratskhelia . Huyu dogo kwa waliomfuatilia toka yupo Rubin Kazan kule urusi alikuwa ni moto kisha akarudi dinamo batumi , Napoli wakamchukua kwa hela ya kununulia maandazi kabisa. Sasa sasahivi kumng'oa pale napoli bila ya 100m pounds bado hujampata.
Euro milioni 10 ni hela ya maandazi??
 
Kwa wale wanaofatilia Ligi ya Mabingwa Ulaya, na Ligi Kuu Italy yaani Serie A bila shaka wameshaiona ni jinsi gani Napoli wanavyoshambulia kama nyuki. Nikisema huvyo bila shaka mashabiki wa Liverpool wanaelewa kiliwakuta nini msimu huu kwa hawa jamaa.

Kama hiyo haitoshi vijana wa Ajax wakiwa nyumbani kwao wametandikwa magoli 6. Hii timu inaweza ikawa moja ya timu inayoweza kufika mbali msimu huu Champions League, hasa ukizingatia kuwa wale waliyotambulika kuwa wababe wa Ulaya wamebakia wawili tu ambao ni Bayern Munich na Real Madrid.

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app

Unaonekana umeanza kufatilia uefa Champions league juzi juzi wewe,halafu ata uefa au ijui vizuri.

Bingwa wa uefa ashindagi mechi zote mkuu,
Bingwa anakuwaga ana struggle sana kwenye makundi na hata kwenye mtoano ushindi wake unakuwa wamashaka sana ila ndio hivyo anasonga tu mbele.

Huyo napoli mwisho wake robo tu huyo, watu wazima wanaelewa watoto hamta elewa hiyo.

Man city nakikosi chao hiko lakini miaka yote wanaangukia pua maana kwenye makundi wanatoa dozi ikifika mtoano chali.

Liverpool alivyokuwa bingwa msimu wa 2019 hakuna aliyeamini atakuwa bingwa maana kwenye makundi alishika nafasi ya pili kwa utofauti wa magoli na mtu wa nafasi ya tatu, alifungwa goli 3 bila na Barcelona watu wakakata tamaa lakini ndio alikuja kuwa bingwa sio tu wa uefa bali ni bingwa wadunia.

Hata Madrid msimu uliopita alistruggle kwenye makundi mechi ya kwanza hata kwenye mtoano alikuwa anafungwa mechi za kwanza lakini ndio bingwa huyo

Bingwa ashindagi mechi zote.bingwa tunamjua nusu fainali sio kwenye makundi hapo hata arsenal anashindaga mechi zote.
 
Kuna sehemu nimeandika kuwa Napoli atakuwa bingwa wa UEFA?
Unazungumzia kushinda mechi zote kwani wapi nimezungumzia kuwa Napoli atashinda mechi zote? Au hatua ya makundi zimeshatamatika na Napoli kashinda mechi zote? Mimi nazungumzia kiwango wanachoonesha Napoli kwa msimu huu kwa hizi mechi walizocheza na sijatoa utabiri wowote kuwa watafika hatua ipi.

Swala la kusema bingwa lazima a struggle sio kweli, UEFA champions league haina hiyo formula. Kuna timu zilibeba kombe kwa ku struggle lakini zipo ambazo zilibeba kombe bila hata ku struggle. Mfano;

Man united msimu wa 2007/2008 wamebeba kombe wakiwa hawakupoteza mechi hata moja wame sare mechi moja tu katika hatua ya makundi. Na mwaka 1999 pia hawakupoteza mechi.

Barcelona msimu wa 2005/2006 hawaku poteza mechi hata moja hatua ya makundi.

Chelsea msimu wa 2020/2021 hawakupoteza mechi yeyote kwenye hatua ya makundi

Bayern Munich msimu 2019/2020 alishinda mechi zake zote sita na akamaliza kundi akiwa na alama 18

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Kwa wale wanaofatilia Ligi ya Mabingwa Ulaya, na Ligi Kuu Italy yaani Serie A bila shaka wameshaiona ni jinsi gani Napoli wanavyoshambulia kama nyuki. Nikisema huvyo bila shaka mashabiki wa Liverpool wanaelewa kiliwakuta nini msimu huu kwa hawa jamaa.

Kama hiyo haitoshi vijana wa Ajax wakiwa nyumbani kwao wametandikwa magoli 6. Hii timu inaweza ikawa moja ya timu inayoweza kufika mbali msimu huu Champions League, hasa ukizingatia kuwa wale waliyotambulika kuwa wababe wa Ulaya wamebakia wawili tu ambao ni Bayern Munich na Real Madrid.

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Hivi wewe unaangaliaga Mpira kweli au upon bize na livescore?
 
Napoli chali huko
Uliangalia mpira? Napoli walicheza kwa ku relax kwasababu kwanza walishafuzu na la pili ni kwamba kwa namna yoyote lazima waongoze kundi kwasababu wana magoli mengi sana na pia hata head to head dhidi ya Liverpool inawabeba. Hivyo Liverpool ndiye aliyekuwa na namna ya kufanya ili aongoze kundi na sio Napoli. Kipindi cha pili ndio kidogo Napoli wamecheza ule mpira wao wa kasi na ku press kwa hali ya juu. Mqgoli ya Liverpool ni magoli ya ndondokera tu kutokana na makosa ya kipa. Kwa aina ya mpira wa Napoli bado nachelea kusema ni moja ya timu bora kwa sasa

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Mapungufu yao yameanza kuonekana,mipira ya kona hawawezi kuzuia
Kwahiyo kwanzia waanze kucheza msimu huu jana ndio kwa mara ya kwanza wamepigiwa mpira wa kona? Mechi iliyopita vs Liverpool je Liverpool hawakupata kona hata moja? Unashindwa kuelewa jana Napoli walicheza kukamilisha tu ratiba hivyo hata tempo yao ilikuwa chini.

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Napoli hawana lolote hii ndio uefa aisee,wamekufa,kelele nyingi hiyo uefa wameangukia pua
 
Back
Top Bottom