PNC
JF-Expert Member
- Feb 3, 2015
- 8,106
- 14,353
Kwanini mashabiki wengi wa AC Milan hamumpendi Messi!!??
tangu lini swala akampenda simba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini mashabiki wengi wa AC Milan hamumpendi Messi!!??
Kwanini mashabiki wengi wa AC Milan hamumpendi Messi!!??
ila gaucho ni mkali zaidi ya messi
Daaaah mkuu Barca ni waimba taarabu?Naona unataka kumsajili jamaa kwenye Club yenu ya Waimba taarabu wewe na PNC 1.
mkuu unaelewa maana ya kukata mauno na kutingisha kiuno?Sababu Messi ni Nabii wa uongo kwenye Soka,anapotosha na kuwaingiza watu wengi motoni kama wakina Aleyn,PNC 1 nk. Messi anajifanya na kujifananisha kwa matendo na maneno kama yeye ndio yule alietabiriwa kuja kuokoa hiki kizazi cha sasa cha Soka kwa kuendeleza na kumalizia yale mema yote yaliyofanywa na Nabii na Mtume wa mwisho kwenye Soka,St Gaucho. Na hili neno lilitabiriwa na kutamkwa kwa vitendo na St Gaucho pale alipowafunga Chelsea huku akiwa anakata mauno.
Sababu Messi ni Nabii wa uongo kwenye Soka,anapotosha na kuwaingiza watu wengi motoni kama wakina Aleyn,PNC 1 nk. Messi anajifanya na kujifananisha kwa matendo na maneno kama yeye ndio yule alietabiriwa kuja kuokoa hiki kizazi cha sasa cha Soka kwa kuendeleza na kumalizia yale mema yote yaliyofanywa na Nabii na Mtume wa mwisho kwenye Soka,St Gaucho. Na hili neno lilitabiriwa na kutamkwa kwa vitendo na St Gaucho pale alipowafunga Chelsea huku akiwa anakata mauno.
kwa kip mkuu nijuze
ha ha ha ha ha hata samata alishushwa kuleta ladhaImeandikwa ''Ole wao Mafarisayo na watu wa mataifa/Barca wasioamini kuwa Nabii Gaucho alishushwa kutoka Mbinguni kuja kuleta ladha,starehe na kuokoa kizazi hiki cha soka''
mkuu unaelewa maana ya kukata mauno na kutingisha kiuno?
ha ha ha ha ha hata samata alishushwa kuleta ladha
Kwani wewe umeelewaje?maana kuna kukata kiuno kiuanamke na kiume.
ha ha ha ha mkuu shukuru Mungu siwez attach video au picha ningekuonesha mwanaume anayekata kiuno na anayetingisha kiuno
Usifikiri kuwa Bikira inaondolewa kwa dushelele peke yake.
kwa kip mkuu nijuze
ha ha ha ha ha ha mkuu kumbe una maneno ya taarabu alafu unadai barca ndio waimba taarabu
dah kama hujui ubora wa gaucho utakuwa humfahamu gaucho
Gaucho ndio Soka lenyewe na Soka ndio Gaucho mwenyewe,so asiempenda Gaucho hapendi wala hajui Soka. Kuna watu wawili humu ndani i.e Aleyn na PNC 1 hawajui Mpira/Soka bali wanamfahamu Messi tuu.
dah kama hujui ubora wa gaucho utakuwa humfahamu gaucho