Hawa ndio mabingwa wa Klabu bingwa Ulaya tangu kuanzishwa kwake

Hawa ndio mabingwa wa Klabu bingwa Ulaya tangu kuanzishwa kwake

Kwa kip mkuu anachojua kuliko Messi Unajua mkuu mm namuheshimu dinho na nautambua mchango wake kwenye soka mpaka sasa bdo najtahd kumfatilia sasa tatzo liko hapa kwa kufananishwa na messi maana hvo vitu hamvitaji ambavyo kampita messi ila mnaishia kumpamba tu

unatumia nguvu nyiingi kubishana na Mungu...

kauli ya wengi ni kauli ya Mungu yakhe...

unapoelekea ni kutia aibu ya Karne
 
hakuwa fit na ndio 7bu mechi ya pili hakucheza

wacha porojo zako za Muhidin Ndolanga na FAT...
wazungu kama mchezaji hayupo fit basi hawamchezeshi, na ndio maana hata mchezaji akiwa na Flu hachezi.

NB: Flu ni Makamasi...umenielewa?
 
Iniesta,Busquets,Xavi,Pique,Pedro na Alba(wakiwa kama FC Barcelona) wapo wamebeba makombe yote dunia,ulaya,klabu bingwa ulaya,klabu bingwa dunia,sasa nitajiena mchezaji gani wa AC Milan yoyote wa sasa kabeba makombe hayo yote,muulizeni hata anti-Messi Gang Chomba nae awasaidie mana najua yeye ndie kachokonoa ila kupitia mlango wa uani.

Gabriel Paretta...
 
pia cheki na christian Zaccardo...but am not sure 100%
 
Back
Top Bottom