Hawa ndio mabingwa wa Klabu bingwa Ulaya tangu kuanzishwa kwake

Kwanini mashabiki wengi wa AC Milan hamumpendi Messi!!??

Sababu Messi ni Nabii wa uongo kwenye Soka,anapotosha na kuwaingiza watu wengi motoni kama wakina Aleyn,PNC 1 nk. Messi anajifanya na kujifananisha kwa matendo na maneno kama yeye ndio yule alietabiriwa kuja kuokoa hiki kizazi cha sasa cha Soka kwa kuendeleza na kumalizia yale mema yote yaliyofanywa na Nabii na Mtume wa mwisho kwenye Soka,St Gaucho. Na hili neno lilitabiriwa na kutamkwa kwa vitendo na St Gaucho pale alipowafunga Chelsea huku akiwa anakata mauno.
 
mkuu unaelewa maana ya kukata mauno na kutingisha kiuno?
 
ha ha ha ha ha ha ha nabii wa uongo LEO MESSI mzaliwa wa Rosario Argentina anayesubiria balon dor ya 5 anakuwa amechukua mara mbili zaid ya pele na mara 3 zaid ya dinho ambaye juzi timu yake imepigwa 5 bila na Santos laguna ya mexico huku yeye akiwepo uwanjani
 
kwa kip mkuu nijuze

Imeandikwa ''Ole wao Mafarisayo na watu wa mataifa/Barca wasioamini kuwa Nabii Gaucho alishushwa kutoka Mbinguni kuja kuleta ladha,starehe na kuokoa kizazi hiki cha soka''
 
Imeandikwa ''Ole wao Mafarisayo na watu wa mataifa/Barca wasioamini kuwa Nabii Gaucho alishushwa kutoka Mbinguni kuja kuleta ladha,starehe na kuokoa kizazi hiki cha soka''
ha ha ha ha ha hata samata alishushwa kuleta ladha
 
Kwani wewe umeelewaje?maana kuna kukata kiuno kiuanamke na kiume.

ha ha ha ha mkuu shukuru Mungu siwez attach video au picha ningekuonesha mwanaume anayekata kiuno na anayetingisha kiuno
 
ha ha ha ha mkuu shukuru Mungu siwez attach video au picha ningekuonesha mwanaume anayekata kiuno na anayetingisha kiuno

Usifikiri kuwa Bikira inaondolewa kwa dushelele peke yake.
 
ha ha ha ha ha ha mkuu kumbe una maneno ya taarabu alafu unadai barca ndio waimba taarabu

Tangu wenzake (Five Star) wapate ajali na yeye amesusa kabisa kuimba taarabu.
 
dah kama hujui ubora wa gaucho utakuwa humfahamu gaucho

Gaucho ndio Soka lenyewe na Soka ndio Gaucho mwenyewe,so asiempenda Gaucho hapendi wala hajui Soka. Kuna watu wawili humu ndani i.e Aleyn na PNC 1 hawajui Mpira/Soka bali wanamfahamu Messi tuu.
 
Gaucho ndio Soka lenyewe na Soka ndio Gaucho mwenyewe,so asiempenda Gaucho hapendi wala hajui Soka. Kuna watu wawili humu ndani i.e Aleyn na PNC 1 hawajui Mpira/Soka bali wanamfahamu Messi tuu.

Tukizungumzia ufundi wa kucheza na ndinga na kufanya mambo adimu, Gaucho hana mpinzani....Mfalme fundi wa Soka
 
Ata mimi nasema Gaucho kiboko yao,sijawai kuona wala kusikia mtu anayejua mpila kama yeye..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…