Mkuu ni bar ya kishua kuanzia alhamis hadi jumapili kuna bamba sana watoto wakali wa kila aina kuanzia wazungu,wahindi,waarabu,wa africa ushindwe wewe tu iko kalibu na jackies masaki barabarani kabisa jioni muda mzurihiyo elements ni club au? cku ipi nzuri na muda gani mzuri nije?
1. Wema Sepetu
2. Agnes Masogange
3. Batuli
4. Irene Uwoya
5. Sinta
Au mnasemaje wadau wa mademu wakali!
Ongezea wengine ambao ni gumzo na ukiweza tupia tupicha
Wewe ni meneja kwenye hiyo bar?Mkuu ni bar ya kishua kuanzia alhamis hadi jumapili kuna bamba sana watoto wakali wa kila aina kuanzia wazungu,wahindi,waarabu,wa africa ushindwe wewe tu iko kalibu na jackies masaki barabarani kabisa jioni muda mzuri
Magwangala1. Wema Sepetu
2. Agnes Masogange
3. Batuli
4. Irene Uwoya
5. Sinta
Au mnasemaje wadau wa mademu wakali!
Ongezea wengine ambao ni gumzo na ukiweza tupia tupicha
Hao watoto wakaree wapo kibiashara au wanakuja na watu wao!?Mkuu ni bar ya kishua kuanzia alhamis hadi jumapili kuna bamba sana watoto wakali wa kila aina kuanzia wazungu,wahindi,waarabu,wa africa ushindwe wewe tu iko kalibu na jackies masaki barabarani kabisa jioni muda mzuri
Hujaona lolote, au wewe unapenda make up. Wema hana uzuri wowote. Jee umefika KARATU, MBULU, KONDOA NA BABATI? WATOTO BILA MAKE UP WAZURI UTASHANGAA1. Wema Sepetu
2. Agnes Masogange
3. Batuli
4. Irene Uwoya
5. Sinta
Au mnasemaje wadau wa mademu wakali!
Ongezea wengine ambao ni gumzo na ukiweza tupia tupicha
Unatakiwa ukamatwe wewe1. Wema Sepetu
2. Agnes Masogange
3. Batuli
4. Irene Uwoya
5. Sinta
Au mnasemaje wadau wa mademu wakali!
Ongezea wengine ambao ni gumzo na ukiweza tupia tupicha
Ntakuja kuwaona. alihamis huwa kuna nini huko?Mkuu alhamis njoo elements masaki alafu uje kuanzisha uzi hapa.ELEMENTS kuna madem wakali hujapata kuona