Hawa ndio mademu wakali kuliko wote Bongo

Hawa ndio mademu wakali kuliko wote Bongo

hiyo elements ni club au? cku ipi nzuri na muda gani mzuri nije?
Mkuu ni bar ya kishua kuanzia alhamis hadi jumapili kuna bamba sana watoto wakali wa kila aina kuanzia wazungu,wahindi,waarabu,wa africa ushindwe wewe tu iko kalibu na jackies masaki barabarani kabisa jioni muda mzuri
 
Wewe ni meneja kwenye hiyo bar?
 
Mkuu ni bar ya kishua kuanzia alhamis hadi jumapili kuna bamba sana watoto wakali wa kila aina kuanzia wazungu,wahindi,waarabu,wa africa ushindwe wewe tu iko kalibu na jackies masaki barabarani kabisa jioni muda mzuri
Hao watoto wakaree wapo kibiashara au wanakuja na watu wao!?
 
1. Wema Sepetu
2. Agnes Masogange
3. Batuli
4. Irene Uwoya
5. Sinta

Au mnasemaje wadau wa mademu wakali!
Ongezea wengine ambao ni gumzo na ukiweza tupia tupicha
Hujaona lolote, au wewe unapenda make up. Wema hana uzuri wowote. Jee umefika KARATU, MBULU, KONDOA NA BABATI? WATOTO BILA MAKE UP WAZURI UTASHANGAA
 
Unasema hao ni wazuri kwakuwa unawaona .ktk tv,halafu wanajiremba Kila kukicha,yaani Gao unaowasifia wake kijijini wiki tu,au wasijipodoe mwezi mmoja ,utawakimbia.Hawana uzuri wowote.ni wa kawaida kama wengine.wazuri wameisha olewa.
 
Ni mitazamo yako ww.... but the truth is.... uonavyo ww si wanavyoona wengine. Kwa mfano hao ulio waorodhesha naona bado v kitu... kuna wadada wazuri kuliko ata hao.. wamekosa tu promo.
 
Si ni wakali wa kuonyesha miili, yaani kazi za vitandani? au?
 
Back
Top Bottom