Hawa ndio MaDj wakali zaidi Tanzania

Hawa ndio MaDj wakali zaidi Tanzania

Alikuwepo mmoja alikuwa anaitwa DJ mafuvu baada ya hapo akarithi DJ ommy crazy
 
Legend Dj Bonny kilosa,

Dj Everlasting JD Matlou huyu alimpaisha sana Salama J Jabir enzi hizo za the cruise.

Dj Charles Mhamiji mr C. Charles,Dj Fast eddy

Dj Steve B, Dj Petermo,Dj Venture,Dj Maliz,Majizzo,Nelly,Makey wa Ea radio,Mafuvu,Tass,Dave,Late Rankim ramadhan,

Dj D Ommy,Ommy crazy,mamy,sinyorita,PQ and his brother Eddy,Fetty,Ray c,Dj Dare

Wa mikoani Dsm ndio kila kitu kwa kweli mtatusamehe nyota hamna
 
Yule alitoboa pua mbona simuoni au galasa yule
 
Dj Jeff Jerry, Dj Maliz, Dj Simba, Dj Devi. Hakuna madj kama hao tena popote
Katika ma DJ wote Tanzania wanaopiga kwenye radio nyimbo za flash back hamna anaye mfikia DJ maliz jamaa anajua sana kupangilia ngoma,sasa hivi sijui huko wapi?
 
kwel mkuu nafikirh hii n kasumba t imejengeka kuwa dj's wazur wapo Dar t ktu ambacho sio kwel,m naamin ktk station za radio zote bongo hakuna kituo chenye team nzuri yamadj wakal zaid ya kiss fm mwanza dah jmaa wakal sn hao kna dj maliz,ray,simba,jeffjerry na aleco
Kweli kabisa,DJ maliz Namba moja
 
Back
Top Bottom