iran itakalishwa chini tu hata kama itajititimua kurusha tukombora twakeLeo wameisha liwa vichwa wawili ndefe imeangukia Kuwait na 5 zingine zimetua Oman sababu US carrier ilishanbuliwa, na Iran kamwambia Oman ukiziruhusu kuruka tunashambulia Oman.
Ya Kuwait wenye nchi yao wamesema ni ya jeshi lao.Leo wameisha liwa vichwa wawili ndefe imeangukia Kuwait na 5 zingine zimetua Oman sababu US carrier ilishanbuliwa, na Iran kamwambia Oman ukiziruhusu kuruka tunashambulia Oman.
Sawa wewe akilini kwako Kuwait ndege zake hazipigi Iran au za Saud Arabia hahaha, ikiwa walisema haturuhusu US kutumia base zao kwenye nchi zetu na wamemruhusu. Yule Saud Arabia anajidai hatukubali US kutumia base na hututaki vita yeye ndiye na Netanyahu waliomchochea Trump ashambulie Iran na ndege zake na uhakika zinashambulua Iran.Ya Kuwait wenye nchi yao wamesema ni ya jeshi lao.
Kwenye vita (war) huwa kunakuwa na mapambano (battles) kadhaa na hakuna mwamba wa kushinda mapambano yote hata kama atashinda vita.
Na vita ni mbaya watu hufa na miundombinu uharibiwa. Waswahili waliposema vita haina macho hawakukosea.
Naskia kiti cha Ayatollah cha moto saivi watu wanakikataa....ni kweli ndugu mchambuzi?Sawa wewe akilini kwako Kuwait ndege zake hazipigi Iran au za Saud Arabia hahaha, ikiwa walisema haturuhusu US kutumia base zao kwenye nchi zetu na wamemruhusu. Yule Saud Arabia anajidai hatukubali US kutumia base na hututaki vita yeye ndiye na Netanyahu waliomchochea Trump ashambulie Iran na ndege zake na uhakika zinashambulua Iran.
Iran hapigi sehemu mpaa kuwe kumetumika kushambulia Iran.
Inawezekana... Kuwaita hivi Sasa wamesema ni ndege mbili zimeanguka huko Kuwait na zote ni za Marekani.Iran hapigi sehemu mpaa kuwe kumetumika kushambulia Iran.
Nani anaye kikataa We unadhani wa Iran wanaogopa kufa?Naskia kiti cha Ayatollah cha moto saivi watu wanakikataa....ni kweli ndugu mchambuzi?
Naomba kujua huu uvaaji wa miwani na kuendesha hizo ndege kwanini inakuwaje hivyoHizo fighter jets za USA mnaona ziki paa Kwa kasi huko Iran kumbe zinaendeshwa na madame,uneeza fikiria zinaendeshwa na majamaa wazito wenye nguvu,kumbe ni these young ladies ambao wako na very high skills!
View attachment 3550996View attachment 3550997View attachment 3550998
Nani amekubali?Nani anaye kikataa We unadhani wa Iran wanaogopa kufa?
Pia Kuwait wamesema Marubani wa hizo ndege wametoka salama.Inawezekana... Kuwaita hivi Sasa wamesema ni ndege mbili zimeanguka huko Kuwait na zote ni za Marekani.
umewai ingia vitan mkuuiran itakalishwa chini tu hata kama itajititimua kurusha tukombora twake
Kwa hiyo Ayatollah amefurahi huko kuzimu?Leo wameisha liwa vichwa wawili ndefe imeangukia Kuwait na 5 zingine zimetua Oman sababu US carrier ilishanbuliwa, na Iran kamwambia Oman ukiziruhusu kuruka tunashambulia Oman.
Wewe je?umewai ingia vitan mkuu
Hizo miwani za jua tu mdau..Naomba kujua huu uvaaji wa miwani na kuendesha hizo ndege kwanini inakuwaje hivyo
View: https://youtu.be/IkT-cshB6j0?si=Ev9KEZChmSrnAps9
Yuko wapi yule kenge aliye sema ni ndege ya Kuwait ilio angushwa hahaha jwa tarifa yako ni ndege nyingi za USA zimeangushwa USA wanaficha kusema sababu yake habari kutoka Aljazeera
Nasikia Uingereza, France, Germany wanawahi kumuokoa America na Israel