Hawa ndio marubani wetu wanaoachilia makombora huko Iran, wape 5 zao

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,101
Reaction score
38,487
Hizo fighter jets za USA mnaona ziki paa Kwa kasi huko Iran kumbe zinaendeshwa na madame,uneeza fikiria zinaendeshwa na majamaa wazito wenye nguvu, kumbe ni these young ladies ambao wako na very high skills!

 
Leo wameisha liwa vichwa wawili ndefe imeangukia Kuwait na 5 zingine zimetua Oman sababu US carrier ilishanbuliwa, na Iran kamwambia Oman ukiziruhusu kuruka tunashambulia Oman.
iran itakalishwa chini tu hata kama itajititimua kurusha tukombora twake
 
Leo wameisha liwa vichwa wawili ndefe imeangukia Kuwait na 5 zingine zimetua Oman sababu US carrier ilishanbuliwa, na Iran kamwambia Oman ukiziruhusu kuruka tunashambulia Oman.
Ya Kuwait wenye nchi yao wamesema ni ya jeshi lao.

Kwenye vita (war) huwa kunakuwa na mapambano (battles) kadhaa na hakuna mwamba wa kushinda mapambano yote hata kama atashinda vita.

Na vita ni mbaya watu hufa na miundombinu uharibiwa. Waswahili waliposema vita haina macho hawakukosea.
 
Sawa wewe akilini kwako Kuwait ndege zake hazipigi Iran au za Saud Arabia hahaha, ikiwa walisema haturuhusu US kutumia base zao kwenye nchi zetu na wamemruhusu. Yule Saud Arabia anajidai hatukubali US kutumia base na hututaki vita yeye ndiye na Netanyahu waliomchochea Trump ashambulie Iran na ndege zake na uhakika zinashambulua Iran.

Iran hapigi sehemu mpaa kuwe kumetumika kushambulia Iran.
 
Naskia kiti cha Ayatollah cha moto saivi watu wanakikataa....ni kweli ndugu mchambuzi?
 
Mnatia huruma sana. Mnaangaika kutafuta faraja. Mnayemuabudu naye useless pamoja na mtume wake hopeless kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…