Hawa ndio mastar wa 5 wa bongo ambao wametoka familia za kishua

na wewe vipi familia gani umetoka.

swissme
 
Haha hata mimi ni mtoto wa kishua, nimezaliwa na wazazi wangu pale home kishumndu, nimesoma shule ya kushua pale kishumundu, nimesafiri sehemu mbali mbali sana
Nimeshangaa wakati nataka niandime na mimi wa kishua ila sio celebrity na nishasepaga maskani naishi kama mim ndio naona nawe ulishaanima maqazo yako ambayo kana yangu ahahaha.....haya mi nilimuwa wa kishua nimesoma shule ya msingi aliyosoma navy kenzo mmoja...jokate...q chief.....j sisters.........nabaelexa tu ila sio tajiri aisee ahaha
 
Kuna Mc mkubwa sana mmemsahau nayeye alikuwa mtoto wa mmoja wa wakurugenz Tanesco. Marehem Kimario.
 
twenty percent mmemsahau[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
We unaijua Arusha au..?
 
JUMBA LA MSHUA WAKE NISHER NI BALAA AISEE... SIJAWAHI ONA DUDE KAMA LILE CHAAAAA
Wafuasi wa Nabii Mkuu, Dr. , Prof, Baba, Mtukufu, Mkuu wa Manabii, Mheshimiwa Geor Davie wanaita Ni Ikulu ya Mbinguni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…