Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Haha hata mimi ni mtoto wa kishua, nimezaliwa na wazazi wangu pale home kishumndu, nimesoma shule ya kushua pale kishumundu, nimesafiri sehemu mbali mbali sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Harmonize pia usimsahauOngezea hapo: Lulu, Joyce Kiria, Hoyce Temu
lulu
masogange
tunda
aunty ezekiel
linah
shilole
Unajua kawaida kwako inaweza kuwa ya kishua kwa mwenzako. ... .. Perception zinatofautianaMimi naelezea jinsi tsere alivyokua anaishi c kishua ni kawaida sana
napenda tu hzo high heelsHongera zao
Nimeshangaa wakati nataka niandime na mimi wa kishua ila sio celebrity na nishasepaga maskani naishi kama mim ndio naona nawe ulishaanima maqazo yako ambayo kana yangu ahahaha.....haya mi nilimuwa wa kishua nimesoma shule ya msingi aliyosoma navy kenzo mmoja...jokate...q chief.....j sisters.........nabaelexa tu ila sio tajiri aisee ahahaHaha hata mimi ni mtoto wa kishua, nimezaliwa na wazazi wangu pale home kishumndu, nimesoma shule ya kushua pale kishumundu, nimesafiri sehemu mbali mbali sana
Sasa Wolper katoboa nini?Diamond
Nature
Jaydee
Temba
Wolper
We unaijua Arusha au..?Huyo lucci kakulia arusha hiyo obey ameijua akiwa na miaka 20 mana walihamia dar 2006 baba yke alipoteuliwa kua dc,huyo nisha nae walewale 2007 baba yake alikua na ki celica kibovu ndio dogo alikua anaendesha mitaa y kisongo maisha yao yameanza badilika 2010 so sio wa kishua huyo
Wafuasi wa Nabii Mkuu, Dr. , Prof, Baba, Mtukufu, Mkuu wa Manabii, Mheshimiwa Geor Davie wanaita Ni Ikulu ya MbinguniJUMBA LA MSHUA WAKE NISHER NI BALAA AISEE... SIJAWAHI ONA DUDE KAMA LILE CHAAAAA