Hawa ndio mastar wa 5 wa bongo ambao wametoka familia za kishua

Hawa ndio mastar wa 5 wa bongo ambao wametoka familia za kishua

Aicc heka ipo sana sema mzee alikua anaishi kawaida 2 pia binti zake nao hawakua n makuu

Pale wengi wanakuaga alosto tu coz hela zenyewe za msimu....

Ila nawashangaa wabongo ushua wanautafsiri vipi MTU anaishi kikawaida tu wanabandika mabango...

Nasie wazee wetu walioanzia kwenye umeneja NMC hadi ukatibu mkuu Wa wizara tusemeje??

Maana bado najiona maskini tu...
 
Pale wengi wanakuaga alosto tu coz hela zenyewe za msimu....

Ila nawashangaa wabongo ushua wanautafsiri vipi MTU anaishi kikawaida tu wanabandika mabango...

Nasie wazee wetu walioanzia kwenye umeneja NMC hadi ukatibu mkuu Wa wizara tusemeje??

Maana bado najiona maskini tu...

Sasa hivi ufisadi kwa sana sio kma enzi za mdee n tsere,wa2 wengine wanaishi maisha y fb na insta kma le mbululaz kupiga picha n kusema uko mtamu,mwenye uwezo huwa hajisifii utaona maendeleo yake 2
 
Huyo lucci kakulia arusha hiyo obey ameijua akiwa na miaka 20 mana walihamia dar 2006 baba yke alipoteuliwa kua dc,huyo nisha nae walewale 2007 baba yake alikua na ki celica kibovu ndio dogo alikua anaendesha mitaa y kisongo maisha yao yameanza badilika 2010 so sio wa kishua huyo

Lucci kasoma FEZA BOYS' mkuu huyu dogo wa kishua kaka
 
Kumbe Kuna watu bado wanawababaikia watoto wa kishua?
 
Mimi pia wakishua nenda kaulize buguruni madenge,kwamnyamani,malapa mpk vingunguti wanajua sisi watoto wa kota buguruni flat za police baba zetu wakiwa MAAFSA WA JESHI LA POLISI na sisi tupo kwenye list ya kishua hahahaaaa chezea.baba inspector wewe jiwe 2 began,kila mkienda kucheza mechi uswazi mnafungwa na mpira wenu mpya wanauchukua mkienda siku nyingine mna gozi(jipya) vilevile……niweke kwenye list ya wakishua mkuu!!!
 
Mkuu
Upo sahihi nadhani mtoto ambaye ameibuka toka familia maskini anahitaji pongezi zaidi kwani tunajua hawa watoto wengine wanavyobebwa na majina makubwa ya familia wanazotoka.
Wazazi washua au walioenda shule .
 
Duniani watu wana celebrate mtu aliyekuwa maskini na kuweza kuwa tajiri .Hata siku Mika watu hawamsifii mtoto wa mkubwa serikalini au nani .Mfano Lemutuz yeye ata afanyiwe nini watu watasema mtoto wa baba.
 
Madhali tumepewa macho na jamii tunaingia tutasoma vingi. maana mada kama hii duh!
 
Lucci namuelewa toka enzi za kina Cpwaaa ila nisha anajichubua hadi aibu
 
Hujamweka Gk ww umekalilishwa

Gk wakishua kivipi wakati mganga njaa tu. Mama yake alikua anasota na chaki pale tambaza na vyuo uchwara mpaka alipopigiwa pande na mwanafunzi wake mnyika na kupata ubunge wa kupewa. Viti maalum
 
Back
Top Bottom