Hawa ndio matajiri wakubwa 10 bora katika soko la hisa Tanzania,

Mbona mitaji yao kama ya kawaida sana! Dola milioni moja na kitu na mwingine Dola laki saba! Ina maana hakuna wakinga,wapemba,wasukuma au waha wenye uwezo wa kununua hizo hisa kwa mjibu wa mKUU WA MKOA WA Njombe Antony Mtaka?
Tatizo ni priority baba! Haimaanishi hamna watu wenye zaidi ya hizo!
 
Halafu hao weusi wote wanatoka Kilimanjaro.
Hivi kwanini Magufuli alikuwa na hasira sana na hawa watu?
 
Mbona mitaji yao kama ya kawaida sana! Dola milioni moja na kitu na mwingine Dola laki saba! Ina maana hakuna wakinga,wapemba,wasukuma au waha wenye uwezo wa kununua hizo hisa kwa mjibu wa mKUU WA MKOA WA Njombe Antony Mtaka?
teh teh teh Mitaj hiyo ni yakawaida eeeh?
Umejaribu kuConvert hizo ela kuja hapa Tanzania ukajua ni sh ngapi ndugu.
Wote hao wamewekeza kuanzia Bilion Moja na Mamilion na ushee hivyo ni watanzania wachache sana ambao wanaweza uthubutu wa kuweka hizo ela kwenye soko la hisa
 
Lengo lilikuwa kuwataja wachaga wenzio,endelea kushabikia wanaume wenzako ila muda hausimami!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…