Hawa ndio member kumi maarufu zaidi hapa Jamiiforum

Mletamada Shkamoo !
Afu umeniharibia siku kwa kutommesheni mke wangu .
 
1.mzizi mkavu
2.baba v
3.lara1
4.madamme x
5.kongosho
6.appoh
7figganigga
8.watu8
9.smile
10.heaven on earth

Andika hivi. Hawa ndio memba ninaowapenda hapa jf......... upendo gani utajijua mwenyewe.
 
Kwani mtu akiwa na Zalu kubwa halikidhi kigezo , maanake kama jibu ndiyo , basi mie itakua hajanitendea haki.

hahahaaa, thread nyingine michosho tu my dear, ngoja niende zangu nikajisomee habari mie huko juu!!!!!!! Huku kumeingiliwa!!!!
 
jamani wii nisamehe bure, mwenzio hapa nimeshika mawili.... Huku kazi zimenitinga, huku Jf napo napatamani, najikuta nadokoadokoa tu... Nakupenda sana wii wangu!!!!

Lady doctor nasubiri ufukuzwe kazi,hawara yako akuache kisha uniangukie nikuwowe.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…