Hawa ndio member kumi maarufu zaidi hapa Jamiiforum

Hawa ndio member kumi maarufu zaidi hapa Jamiiforum

hujakizi vigezo jina lako halina pressure aka credibility masikioni mwa watu
 
gere tu kwa sababu haupo
 
mtazamo wa jf member na majina haya yamepata mention nyingi na quote nyingi na reply nyingi sana
 
umaarufu ndani ya jf na post replay pamoja na mention
 
Shavu jipe mwenyewe inaitwa hiyo

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
hao majina yakitaja popte pale hata kwenye daladala kama kuna member wa humu jf au guest lazima astuke na kugeuza shingo
 
aisee ujue wewe una marks nyingi but upo namba kumi na moja bado kidogo tu uingie
 
watu hawa hata ukiwataja kwenye daladala kutokana na umaarufu wao kama kuna member yoyote ndani ya dalala hiyo basi lazima atageuka nao si wengine bali na hawa wafuatao


1.mzizi mkavu
2.baba v
3.madamme x
4.fingafinga
5.lala
6.hevean on desert
7.smile
8.appoh
9.kongosho
10.watu8

Bahati nzuri umesema ni mtazamo wako mkuu.. ila huyo "fingafinga" angalia tena, sidhani kama umeandika kwa ufasaha..
 
watu hawa hata ukiwataja kwenye daladala kutokana na umaarufu wao kama kuna member yoyote ndani ya dalala hiyo basi lazima atageuka nao si wengine bali na hawa wafuatao


1.mzizi mkavu
2.baba v
3.madamme x
4.fingafinga
5.lala
6.hevean on desert
7.smile
8.appoh
9.kongosho
10.watu8

Unafanya promo
 
Back
Top Bottom