Hawa ndio member kumi maarufu zaidi hapa Jamiiforum

Hawa ndio member kumi maarufu zaidi hapa Jamiiforum

nimekosea makusudi mi napenda niulizwe kitu mara ya pili ndio naongea maana yake ni likua naamanisha reality
 
watu hawa hata ukiwataja kwenye daladala kutokana na umaarufu wao kama kuna member yoyote ndani ya dalala hiyo basi lazima atageuka nao si wengine bali na hawa wafuatao


1.mzizi mkavu
2.baba v
3.madamme x
4.fingafinga
5.lala
6.hevean on desert
7.smile
8.appoh
9.kongosho
10.watu8

ungeongeza mmoja tu mimi nisingekosekana.
 
Hebu kajifunze kuandika kijana
fingafinga ndio nani?
lala ndio nani?
nimekiz ndio nini?
rality ndio kitu gani?
pressure na credibility vina u a.k.a wapi na wapi?
 
aaaaaah kumbe na wewe haupo
credibility ni mashiko mbele za watu a.ka ushawishi
pressure msukumo mbele za watu
 
watu hawa hata ukiwataja kwenye daladala kutokana na umaarufu wao kama kuna member yoyote ndani ya dalala hiyo basi lazima atageuka nao si wengine bali na hawa wafuatao


1.mzizi mkavu
2.baba v
3.madamme x
4.fingafinga
5.lala
6.hevean on desert
7.smile
8.appoh
9.kongosho
10.watu8
Kama wewe ungejiengua basi thread ingekua subtlely sensible, lakini kwa kujiweka umeua kila kitu.....
 
Mimi na daladala wapi na wapi mkuu...mimi natumia tukutuku full time :becky:
 
unajua mi natenda haki sana sipendi upendeleo nilivyoona nimekidh vigezo na jina langu limekuja kwenye data nikaona niliweke tu ili haki itendeka wakuu
 
hata abiria wako wa tukutuku akisikia jina lako lazima astuke na kukuuliza wewe ndio watu8
 
Back
Top Bottom