Hawa ndio member kumi maarufu zaidi hapa Jamiiforum

Hawa ndio member kumi maarufu zaidi hapa Jamiiforum

Today 18:02
#1 JF Senior Expert Member Array


Join Date : 14th March 2013

Posts : 1,051
Rep Power : 0

Likes Received191
Likes Given34


[h=2]
icon1.png
hawa ndio member kumi maarufu zaidi hapa jamiiforum[/h]
1.mzizi mkavu
2.baba v
3.lara1
4.madamme x
6.appoh
7figganigga
8.watu8
9.smile
10.heaven on earth
​

Last edited by appoh; Today at 19:08.​


Yaani kujiunga 14/03/2013 hata kina Malaria Sugu Dar-es-salam Kimbweka Rungu na wengineo hukuwakuta
kweli unmeangalia wanaoshinda humu JF miezi hii 5 nitakukubalia
 
Last edited by a moderator:
Kwa wale mliokosa No. Mnaweza kutumia hesabu kama wahindi..
0-Hii bado haina mtu
1-mzizimkavu
2..
3..
...
 
kushinda sio issue ishu je hoja zako watu wanazielewa na kuzibali
 
Hiyo list bila Ritz na Marcopolo wazee wa buku saba, itakuwa haijakamiliki. Wapi Mzee Mwanakijiji?

Tiba
 
kongosho yupo ila kingasti hayupo kwani jina sio lake ni la mr nice ukilitaja tu watu watamkumbuka mr nice
 
Back
Top Bottom