Hawa ndio members Bora wa hili jukwaa la MMU

Hawa ndio members Bora wa hili jukwaa la MMU

Baada ya kuuaga mwaka 2024 mwaka uliokuwa na mafanikio makubwa Kwa Kila mtu ...kulingana na utafiti niliyoufanya

Hawa ndio members walioupiga mwingi kwenye jukwaa la MMU based on several factors such ,, most appearance, content creators , love story telling and others.....other factors remain constant

Labani og
Huyu mwamba yupo active kulike, kucoment thread mbalimbali hapa mjini MMU
rickboy
Huyu mwamba bado anabebwa na ule Uzi wake wa kula tunda kimasihara kama asingekuwepo laban og....basi rickboy angeongoza
patrickk
Mwamba ametikisa dk za mwisho kabisa Kwa ule Uzi wake wa kuchakata bikra za kna grace
Extrovert
Mwamba kwenye kusimulia ameupiga mwingi especially narration of events
Robert Heriel Mtibeli
Mwamba kaliheshimisha jukwaa la MMU Kwa debate zake kuhusu mapenzi
cacutee
Mwanadada kaonekana sana kwenye kutupia thread hapa jf ....I'm sure yupo single
Nikifa MkeWangu Asiolewe
Mwamba anaonekana anampenda sana mke wake ...japo tutamuoa tu
To yeye
Hawa ndio wakongwe hapa MMU ukimuongeza na financial services
Equation x
Magical power
Yoda

NB: Mughonile ...mulobwke bandu bha kyalaView attachment 3189881
Kwahiyo wanaume wote wa jf Dua Zenu zote nife mapema kabla yenu muoe mke wangu? Mbona mke wa Nyerere,mwingi,mkapa na JPM wote Bado hai na Wana ukwasi wakutosha wanakula pensheni tu kwanini msiwape kipaumbele hao kwanza?

😂😂😂
 
Kwahiyo wanaume wote wa jf Dua Zenu zote nife mapema kabla yenu muoe mke wangu? Mbona mke wa Nyerere,mwingi,mkapa na JPM wote Bado hai na Wana ukwasi wakutosha wanakula pensheni tu kwanini msiwape kipaumbele hao kwanza?

[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa Hilo jina lako it seems mkeo ana tu vitu special special
 
Back
Top Bottom