Hawa ndio Most Female GreatThinker Jf nzima...

Hivi kumbe akili ya mwana jf inapimwa kwa kuangalia majukwaa ee
We kaka kila mtu na akili yake,usidhani wanaoshinda MMU na chitchat ndo mambumbu[emoji23] kila mtu na hobby yake
Naweza nikashinda chitchat na nikawa na akili kumzidi huyo anaeshinda majukwaa unayodai ya wenye akili.
Wengine wapo jf kwa ajili ya burudani na kurefresh mind,kutoa stress na vitu kama hizo.
Siwezi nikawa na mastress yangu afu niingie jf kupambana na kupanguana hoja na watu,lazima niingie majukwaa furahishi nifurahi akili ikae sawa.
 
Ingependeza zaidi kama ungewasifia hao wanawake bila kuwaponda single mothers.

Hiyo ni hali ambayo wakati fulani huwakuta ktk namna isiyo zuilika.
Kicanya Uzinzi makusudi unaita hali isiyozuilika?? hiyo hapana mkuu Single mother na hali ya kujitakia labda kama unakusudia kubakwa, anyway nakubaliana nawe hakukuwa na sababu ya kuwaponda watetewa wa Makonda!!!
 
Kicanya Uzinzi makusudi unaita hali isiyozuilika?? hiyo hapana mkuu Single mother na hali ya kujitakia labda kama unakusudia kubakwa, anyway nakubaliana nawe hakukuwa na sababu ya kuwaponda watetewa wa Makonda!!!
Na yule ambae aliolewa akaachwa au mume wake akafariki?
 
Haya umefurahi ??????kila MTU Na sifa zake.Eti single mother Mara wapo wawili tu humu ndani.
Usingle maza imeletwa Na wewe.(Ebu acha kudhalilisha single mothers.Wamekukosea nini binafsi(au ndo wewe mmojawapo mliopelekwa kwa Makonda(kuna Izi umeomba msamaha wanawake but kama Haya ndo ulikuwa unayafanya.I bet to say You are not okay upstairs
 
huyo sio Single mother...

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Yule ambae alihaidiwa ndoa na kweli walipanga kufunga ndoa ikatokea kapewa ujauzito na mwanaume ambae wazazi wake wakataa ndoa yao sababu ya ukabila au udini?

BTW, ndoa ni nini mbele ya sheria za serikali na nini mbele ya sheria za dini kwa madhebu ya kikristo?
 
Huo sasa mjadala mwingine Mkuu...

Mbele ya Sheria hakuna mtu wa kuitwa single mother litambue hilo kwanza mkuu, sasa ukitaka kuhusisha sheria inasamaje ktk mjadala huu hatutakaa tupate kuelewana!!!
 
Hata wawe na akili vipi haisaidii kitu kwa sababu wanaume tunachoangalia ni wowowo!!!!
 
Pyaar , ledada , jakitoo , Toto zuri , flowerss, are great thinkers of all time. [emoji23]
 
Huo sasa mjadala mwingine Mkuu...

Mbele ya Sheria hakuna mtu wa kuitwa single mother litambue hilo kwanza mkuu, sasa ukitaka kuhusisha sheria inasamaje ktk mjadala huu hatutakaa tupate kuelewana!!!
Mkuu hilo swali la ndoa ni nini zito sana. Sio la kulichukulia kirahisi rahisi hasa kama umewahi kusoma mijadala yangu mingi.

Lina mtego mkubwa sana. Ni bora tuache tu kujadili hiyo kitu kama ulivyo shauri.
 
Hivi unakunywa kinywaji gani vile??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…