Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,453
Poleni sana yan kule ndo huwa najiachia hakuna kizur zaid ya hichoooo kwenye hii duniaaaTunakufa kijeremani na tai shingoni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poleni sana yan kule ndo huwa najiachia hakuna kizur zaid ya hichoooo kwenye hii duniaaaTunakufa kijeremani na tai shingoni.
Swahiba wewe povu lako umepeleka wapi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kicanya Uzinzi makusudi unaita hali isiyozuilika?? hiyo hapana mkuu Single mother na hali ya kujitakia labda kama unakusudia kubakwa, anyway nakubaliana nawe hakukuwa na sababu ya kuwaponda watetewa wa Makonda!!!Ingependeza zaidi kama ungewasifia hao wanawake bila kuwaponda single mothers.
Hiyo ni hali ambayo wakati fulani huwakuta ktk namna isiyo zuilika.
Na yule ambae aliolewa akaachwa au mume wake akafariki?Kicanya Uzinzi makusudi unaita hali isiyozuilika?? hiyo hapana mkuu Single mother na hali ya kujitakia labda kama unakusudia kubakwa, anyway nakubaliana nawe hakukuwa na sababu ya kuwaponda watetewa wa Makonda!!!
huyo sio Single mother...Na yule ambae aliolewa akaachwa au mume wake akafariki?
Rekebisha Uzi kwanza To a single mothers Na wape Credit wanawake wote humu ndani.Mana kila mmoja alipo ana mchango wake muhimuNisamehe mpenz
Yule ambae alihaidiwa ndoa na kweli walipanga kufunga ndoa ikatokea kapewa ujauzito na mwanaume ambae wazazi wake wakataa ndoa yao sababu ya ukabila au udini?
Huo sasa mjadala mwingine Mkuu...Yule ambae alihaidiwa ndoa na kweli walipanga kufunga ndoa ikatokea kapewa ujauzito na mwanaume ambae wazazi wake wakataa ndoa yao sababu ya ukabila au udini?
BTW, ndoa ni nini mbele ya sheria za serikali na nini mbele ya sheria za dini kwa madhebu ya kikristo?
Mkuu hilo swali la ndoa ni nini zito sana. Sio la kulichukulia kirahisi rahisi hasa kama umewahi kusoma mijadala yangu mingi.Huo sasa mjadala mwingine Mkuu...
Mbele ya Sheria hakuna mtu wa kuitwa single mother litambue hilo kwanza mkuu, sasa ukitaka kuhusisha sheria inasamaje ktk mjadala huu hatutakaa tupate kuelewana!!!
Hivi unakunywa kinywaji gani vile??Hivi kumbe akili ya mwana jf inapimwa kwa kuangalia majukwaa ee
We kaka kila mtu na akili yake,usidhani wanaoshinda MMU na chitchat ndo mambumbu[emoji23] kila mtu na hobby yake
Naweza nikashinda chitchat na nikawa na akili kumzidi huyo anaeshinda majukwaa unayodai ya wenye akili.
Wengine wapo jf kwa ajili ya burudani na kurefresh mind,kutoa stress na vitu kama hizo.
Siwezi nikawa na mastress yangu afu niingie jf kupambana na kupanguana hoja na watu,lazima niingie majukwaa furahishi nifurahi akili ikae sawa.