Hawa ndio waandishi wa habari Nguli wa enzi hizo

Hawa ndio waandishi wa habari Nguli wa enzi hizo

gubegubekubwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2008
Posts
668
Reaction score
898
rtd3.png

David Wakati, Sarah Dumba, Eda Sanga, Jacob Tesha, Ananilea Nkya, Sango Kipozi, Omar Jongo, Ahmed Jongo, Barnabas Mluge, Idrissa Sadallah, Benjamin Kikomongo "Ben Kiko", Bartholomeo Kombwa "Bart Kombwa", Danstan Tido Mhando, Masoud Masoud, Yusuph Omar Chunda, Bujaga Izengo Kadago, Abisai Steven, Angalieni Mpendu, Titus Philipo, Bakari Msulwa, Michael Katembo, Nazir Mayoka, Abdul Ngalawa,

Mohammed Kisengo, Abdallah Mlawa, Hendrick Michael Libuda, Abdallah Idrissa Majura, Mikidadi Mahmoud, Rosemary Mkangara, Wilson Malosha, Damian Msangya, Nswima Ernest, Nathan Rwehabura, Betty Chalamila (Betty Mkwassa), Elisia Isabula, Aloysia Maneno, Albert Msemembo, Abdul Masoud, Chisunga Stephen, Siwatu Luanda, Tumbo Tamimu Risasi, Selemani Mkufya, Salim Mbonde, Christine Chokunegela, Kassim Mikongolo, Salama Mfamao,

Zawadi Machibya, Juma Ngondae, Salim Seif Mkamba, Nelly Kedela, Dominic Chilambo, Sekioni Kitojo, Malima Ndelema, Khalid Ponera, Julius Nyaisanga, Ahmed Kipozi, Charles Hillary, Aboubakar Liongo, Penzi Nyamungumi, Sued Mwinyi, Juma Nkamia, Matha Ngwira, Edward Kahulananga etc
 
Kichwa cha habari Wandishi wa habari ila uliowataja 98% ni watangazaji wa redio tena R T D Wandishi wa habari walikuwa kina Jemsi Nhende, katabalo nk
 
Kichwa cha habari Wandishi wa habari ila uliowataja 98% ni watangazaji wa redio tena R T D Wandishi wa habari walikuwa kina Jemsi Nhende,katabalo nk
Umejifunza wapi hiyo tafsiri?

Industry nzima ni ya wanahabari/ waandishi wa habari. Ina watangazaji (broadcasting). Ina waandishi (print journalists) na si kuhizi kuna digital media kwahiyo wana-publish through various platforms like blogs and social media/traditional media (magazeti na majarida)

Nyanja zote zina wahariri (editors) na wapo wengi.

Tasnia imepanuka

Kuna watu wa mahusiano na mawasiliano (Public Relations) uajiriwa wanahabari, wasomi wa PR na wasomi wa mahusiani na habari (Mass communication and journalism)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Wengine walikuwa watangazaji tu, hawakuwa waandishi wa habari.

Vv
In fact majina mengi aliyoweka yalikuwa ni ya watangazaji wa RTD, ambapo siyo wote walikuwa waandishi wa habari akiwacha wale wanadishi wenyewe kama wale wa Daily News, Sunday News, Uhuru, Mzalendo, Kiongozi, Mfanyakazi pamoja na vyombo vingine vya habari vilivyokuwepo wakati huo.
 
Paso mayala,steve nyerere,zembwela,baba levo
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Back
Top Bottom