Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Hawa ndiyo wabunge wenye muda mrefu bungeni, mtu amekaa miaka 30 ila majimbo yao yana shida ya maji, umeme, changamoto za kilimo n.k.
Nadhani ni muda sasa wapumzike.
William Lukuvi
Nadhani ni muda sasa wapumzike.
William Lukuvi
George Huruma Mkuchika1995 -2025 (30), Ismani -Iringa
Mussa Azzan Zungu2005 - 2025 (20)Newala- Mtwara
George Boniface Simbachawene2005 - 2025 (20) Ilala- Dar es Salaam
Job Ndugai2005 - 2025 (20) Kibakwe Dodoma
Hussein Nassor Amar2005 - 2025 (20) Kongwa- Dodoma
Jason Samson Rweikiza2010 - 2025 (15) Nyang’wale -Geita
Selemani Moshi Kakoso2010 - 2025 (15) Bukoba Vijijini -Kagera
Anna Richard2010 - 2015 (15) Mpanda Vijijini Katavi
Christopher Ole – Sendeka2005-2010, 2015-2025(15) Lupembe Njombe
Vedastus Mathayo Manyinyi2005-2015, 2020-2025 (15) Simanjiro, Manyara
Sospeter Mwijarubi Muhongo2005-2010, 2015 - 2020 - 2025 (15) Musoma Mjini, Mara
Abdulaziz Mohamed Abood2012 - 2025 (13), Musoma Vijiji- Mara
Mansoor Shanif Jamal2010 - 2025 (15), Morogoro Mjini
Deo Sanga2010 - 2025 (15), Kwimba- Mwanza
Koka Silyvestry Francis2010 - 2025 (15) Makambako- Njombe
Selemani Saidi Jafo2010 - 2025 (15) Kibaha Mjini- Pwani
Livingstone Lusinde2010 - 2025 (15), Kisarawe- Pwani
Ahmedy Shabiby2010 -2025 (15) Mtera
Charles Mwijage2005 - 2025 (20) Gairo
Pindi Chana2010 - 2025 (15) Muleba
Manyanya Stella Martin2010 - 2025 (15) Special seat
Jenista Joakim Mhagama2010-2025 (15) Nyasa
Mwigulu Lameck Nchemba Madelu2000-2015 (25) Perahimiho
David Silinde2010-2025 (15) Iramba Magharibi
Ummy Ally Mwalimu2010-2025 (15) Tunduma
January Makamba2010 -2025 (15) Tanga Mjini
2010-2025 (15) Bumbuli